kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
Naona Yanga mmefakamia uziMashabiki wa Simba wanaushabiki wa kishamba sana, kwa nini wamzomee Nyoso!.
Bwege tu huyo achana nae.Mkuu rudia kusoma. Aliyepigwa ni shabiki wa kagera suger na siyo shabiki wa simba. Acha kukurupuka
Juma Nyoso ni mshambuliaji siku hizi? Inabidi akapimwe akili huyoWakuu baada ya Juma NYOSO, mshambuliaji wa Kagera Sugar kupigwa ban ya miaka miwili kwa kosa la kumtindua John bocco dole la kati[emoji108] leo tena almanusra amtoe meno shabiki
Nini ushauri kwa huyu bwana
Au kwa mamwela waliomkamata????
Nyoso hapendagi ujinga wenu, shabiki mwenzenu amevuna alichokipanda.Naona Yanga mmefakamia uzi
Kwani ugomvi mkuuJuma Nyoso ni mshambuliaji siku hizi? Inabidi akapimwe akili huyo
Sijui. Ila nataka kujua Kama Juma ameacha kuwa beki siku hizi. Ni hiloKwani ugomvi mkuu
Ulimi hauna mfupa mkuu nilikoseaSijui. Ila nataka kujua Kama Juma ameacha kuwa beki siku hizi. Ni hilo
hata hujaelewa...alikuwa ni shabiki wa k.sugar, alikuwa anazomea wachezaji wake, eboo!Mashabiki wa simba ni mambumbumbu ..
Hongera nyosso umemkosa Bocco umempata shabiki wa simba ,nilitaka kushangaa nyosso awaache simba salama?
naye aende segerea wakampakate....shwaini!!Machungu ya kufungwa
Huyo aende tu akanyee debe gerezani mpira hauwezi..alianza kushika wanaume wenzie kwenye makalio sasa anapiga watu
Hapo hata Gaucho angerusha ngumi, sasa imagine Nyoso [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ila washabiki wanaboa, inasemekana huyo shabiki ni wa Simba na alienda akampulizia vuvuzela Nyosso tena usoni, ebu imajini mmefungwa alafu jamaa anakuja kukupigia makelele usoni na vuvuzela.
Kumbe ata ww babu unafililia kwa kutumia makalioJuma Nyosso, huyo mtu ukitaka azinduke fasta mpe dole la kati