Juma Nyosso amekamatwa na Polisi baada ya kumpiga shabiki hadi kuzimia

Kuna vitu vingi vinavyosababisha mtu azimie ikiwemo msituko
 
Huyu si ndiye aliyemuingizia mwenzake kidole cha makalio?
 
we huoni watu wakiwa wanakutafutia redcard uwanjani ukimgusa tu kidogo anavyo jitupa?

lakini pia kuna vitu ktk mwili wa mwanadamu vinaitwa pressure point hapo ukiguswa na ngumi kama sio kupoteza maisha papohapo unaweza kuzimia kwahiyo inategemea ilipigwa ktk sehem gan ya mwili
 
Ndio maana nasemaga kilasiku, soka la Bongo litabaki kuwa LA bongo tu daima...hata tushiriki mashindano ya kimataifa Mara ngapi, bado hatuwezi kubadili mfumo wa soka letu...vitu kama hivi vinatokea kwa wenzetu huko ulaya na kwingineko na hali kadhalika tunaona jinsi gani wachezaji wanaweza kudhibiti hicia zao kulingana na mfumo wa kisoka waliokulia....lakini huku kwetu kama umekulia tandale baci hata upelekwe kucheza ulaya..bado utaishi maisha ya kitandale tu...solution sheria hucika ifuate mkondo wake bila ya kumuangalia mtu usoni
 
Huyu si mchezaji mpira...maana Kila siku ni yeye tuu..huu mpira wa kizaman sana
 
Huyu Nyosso kwanza si mchezaji mzuri, huyu dogo anastahili akamatwe na kufunga zaidi ya miaka 20 jela ili ajifunze adabu.
 
Mashabiki wa Simba acheni ushabiki wa kishamba, Nyoso hapendagi ujinga, huyu ndugu yenu kavuna alichopanda.
 
Ila washabiki wanaboa, inasemekana huyo shabiki ni wa Simba na alienda akampulizia vuvuzela Nyosso tena usoni, ebu imajini mmefungwa alafu jamaa anakuja kukupigia makelele usoni na vuvuzela.
Hata kama angepigwa dole Nyoso alitakiwa kuwa na nidhamu,haya sasa anaenda kufungiwa
 
Asubirie rungu la TFF ,tunataka nidhamu kwa wachezaji
 
unaharisha au!!?..mbona rararaa bila mpango
 
Nyoso kweli kakosea ila kidhat kabisa, binafsi yangu hata mimi kipindi naudananda waduwanzi waduwanzi kama kama hawa nilikuwa siwacheleweshi nawatwanga ndonga tu..

Aliyecheza mpira anajua maumivu ya kufungwa mtu unafungwa mazoezini ila unakaribia kupasuka itakuwa huyu wa uwanjani game ambayo imekamiwa..

Simuungi mkono nyoso, ila nyoso nae binadamu, mshabiki yule ilikuwaje atoke huko alikotoka kumfata nyoso na kumpulizia vuvuzela, lawama kwake,
pili lawama kwa askari vip lile vuvuzel lingekuwa kisu je, nyoso angedhurika sijui kama tungekuwa tunaongea haya, kilichomponza nyoso ni mfululizo wa matukio yake huko nyuma laiti angefanya kaseja au mtu mwingine mwenye rekodi nzur huko nyuma isingekuwa ngumu kwake kiasi hiki kama kwke nyoso.

Uwanja ule nimeona unafensi kubwa tu, mipira iliyokuwa inapigwa na kutoka nje ilikuwa inaishia katika fensi, kuingia uwanjan kuna vigeti, fensi imetenganisha uwanja n mashabiki kama viwanja kadhaa vya ujerumani, sasa shabiki kilimuwasha nini kumfata nyoso uwanjani, usikute ana stress ya kupoteza game, labda na hela waliahidiwa na vyuma vilivyokaza kaishapangia na bajeti
 
Heheheh nyoso noma sana. Hivi sasa yuko wapi jamaa huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…