Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Umasikini umeletwa na msaliti wa Nchi Lissu
Ni LAANA KUBWA SANA kuchagua mtu ambaye atakuletea UMASIKINI kwenye nchi yako na anayeona ni sawa kua MASIKINI ...Kwahio watanzania zaidi ya MILIONI 35 mioyo yao imejaa sura ya Tundu Lissu na ndie atapigiwa kura ya NDIYO na hatimaye kua RAIS WA TANZANIA kwa miaka kumi mfululizo