ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
NJOZI njema kwenye mkeka wa Lumumba mchanaKuanzia mwaka huu Chadema inakataliwa rasmi kaskazini kwa sababu wanesimamamisha msaliti wa Nchi kupeperusha bendera ya Chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NJOZI njema kwenye mkeka wa Lumumba mchanaKuanzia mwaka huu Chadema inakataliwa rasmi kaskazini kwa sababu wanesimamamisha msaliti wa Nchi kupeperusha bendera ya Chadema
Haitegemei mtu mmoja au kundi la waroho wanaonunuliwaCHADEMA chama kubwa
Shehe Ponda na Bagonza mmewanunua shilingi ngapMmewanunua toka mwaka 2016 mpaka leo, tena hao inawezekana mmewatishia maisha, nyie ni wanyama.
Chadema haijaathirika popote, Lissu ndio anazidi kuwakimbiza tu.
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Mkuu usidanganywe na username, huyo mtu wa taputapu tuu huoni hata hoja zake ni za cocktail ya chimpumu, wanzuki, dengerua na yokozuna?Punguza bia kidogo au umekunywa gongo la Chato ??
Naona unajitekenya mwenyewePiga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Mkuu usidanganywe na username, huyo mtu wa taputapu tuu huoni hata hoja zake ni za cocktail ya chimpumu, wanzuki, dengerua na yokozuna?