MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
LISSU kasema ushindi wa SUNAMI ili wasiweze kuiba zotesisi tunajua kua nyie wote mtamchagua Lissu ..ni kua tu lazima mje kupiga porojo humu ili mpate elfu saba ya kwenda kula supu na bia..hakuna mwendawazimu ataichagua ccm...mlikua mnatumia mtaji wa wajinga ambao hawajaelimika ila wamekufa wengi mmebaki nyie makapi machache machache ambao hata asilimia 20 ya kura hamtafika