Uchaguzi 2020 Juma Raibu aharibu ziara ya Lissu Kilimanjaro. Ang'oa viongozi 15 wa CHADEMA

LISSU kasema ushindi wa SUNAMI ili wasiweze kuiba zote
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
β€˜Sumu ya panya, ya mende, jiwe la nyoka, vinapatikanaaaaaa!!!!’ Polepole bure kabisa anawakaririsha watoto ujinga tu!
 
Chadema hawajaisha tu? Ccm inataka kutumia miaka mingapi kuwamaliza?
 
Yanayojiri Bagamoyo
Baada ya kupewa nguo za bure
Pilau la shoka pocket monay
Wasanii LIVE
Wana bagamoyo tunasema ✌️kura kwa Lissu
 

Attachments

  • IMG_20201019_144448.jpg
    92.1 KB · Views: 1
Mleta mada unasema ni15, kwenye video wanaonekana wawili, na hao wawili wanasema sio viongozi wa CHADEMA, mtangazaji nae anasema tumechukua 3, hivi MaCCM mna changanyikiwa kiasi hiki, mapema hivi. Mvumilie ifike 28 Oktoba.

#NIYEYE Rais ni Lissu awamu ya6.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
kipenzi cha mumeo na wanao alokuzalisha
 
Maamuzi yao ni mazuri sanaaa, wamejitambua na sio kutaka kuwa watumwa wa mabeberu. Na badoooooo.. utalii wa Chadrama unaisha lini? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
Watu kama wewe wamezoea ukatili tangu kwenye familia zao, wongo?
 
Kuanzia mwaka huu Chadema inakataliwa rasmi kaskazini kwa sababu wanesimamamisha msaliti wa Nchi kupeperusha bendera ya Chadema
Tundu Lissu anawanyima usingizi hivyo mmembatiza majina yote mabaya. Tulieni dawa iingie. Jamaa anakubalika na wananchi wamemwelewa. #NiYeye2020
 
Kweli kabisa lazima wahamie ccm kwakuwa ccm ndio dira ya maendeleo ya watanzania.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
We mlevi, huyu ni nani..embu jibu
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema

Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuua CDM au kumzuia LISSU tena. CCM itakufa na kuiacha CDM ikimea vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…