Pre GE2025 Jumaa Aweso inadaiwa ndio anayepigiwa Chapuo kuwa Waziri Mkuu 2025-2030 kama CCM itashinda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni moja kati ya vijana pendwa na mkuu. Ila ukiangalia cv za mawaziri wa kenya na.wa.kwetu unabaki mdomo.wazi
 
Asimamie kwanza pre paid meter nchi nzima maana wananchi wanabambikiwa sana madeni na watu wa maji.
Halafu afumue uongozi wa mamlaka ya maji mji mdogo Usa river AUWASA,wamejaa jeuri na kulewa madaraka.Wananchi wakienda wao ni kuwajibu kwa kiburi na kutojali huku wakiwa busy na simu.
 
Yaani mtu anajulikana kwa idadi za wake leo awe waziri mkuu!! Huyu anafikiria alale na mke gani badala ya miradi yetu
Jamaa linaoa kila siku.
Mtu anawaza ngono kila sekunde huo uwaziri mkuu atauweza?
 
Ni moja kati ya vijana pendwa na mkuu. Ila ukiangalia cv za mawaziri wa kenya na.wa.kwetu unabaki mdomo.wazi
Sio mawaziri tu,hata Raisi.
Mwenye cv iliyonyooka ni makamu tu.hao wengine wakina mwigulu walifoji vyeti
 
PM NI DB PEKEE HAWEZI KUWA TENA KANDA PWANITENA KMANI SAWA.....
 
Lakini kuna mikoa inapendelewa sana, iliwezekanaje mkoa mmoja kuwa na mawaziri waane?

Kulikuwa na J.Makamba,Mana FA, Aweso, na Mwalimu.

Mikoa mingine hakujawahi hata kutoa mkuu wa wilaya?
 
Umefanganya uliposema Aweso siyo mla rushwa. Kwenye miradi ya maji rushwa ni kama teja na unga.

Au hujui ukwasi wake ni mkubwa kiasi gani?
 
Kumbe bado ccm wana ndoto ya kushinda uchaguzi mkuu?_😭😭😭
 
Huyu bwege hawezi juwa waziri mkuu. Sema nchi imekuwa ya kisenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…