Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta screenshot nilipoandika kuhusu Urais na hayo unayoyasema.😀
Nyie watu hamkomi tu. Baada ya lamli zenu za Urais kushindwa umehamia kwa pm
Hana usafi wowote mla rushwa na mchukua 10% ya fedha za miradi ya majiRais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda.
Anastahili. Tumuombee
Kwakua ameoa wake wawili, inawezekana .
Na angekua na kifua kipana , mapemaaa kabisa.
Jamaa senge lile,kutwa kujipendekezaHuyu aliyeandika hapa ni Gispon George au????
Jamaa linaoa kila siku.Yaani mtu anajulikana kwa idadi za wake leo awe waziri mkuu!! Huyu anafikiria alale na mke gani badala ya miradi yetu
Sio mawaziri tu,hata Raisi.Ni moja kati ya vijana pendwa na mkuu. Ila ukiangalia cv za mawaziri wa kenya na.wa.kwetu unabaki mdomo.wazi
Umefanganya uliposema Aweso siyo mla rushwa. Kwenye miradi ya maji rushwa ni kama teja na unga.Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda.
View attachment 3217686
Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa wala hana Biashara katika Soko la Kariakoo. Hivyo hawezi kuhujumu Uchumi kwa cheo chake
Hivyo inadaiwa eti ndo chaguo namba moja la Mama wa Kizimkazi(Mamalao)
View attachment 3217685
Je, nini maoni yako juu ya Uteuzi huu?
Kwa wale wasiomjua, Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso (Mb) alizaliwa tarehe 22 Machi 1985, Pangani, Mkoani Tanga. Mheshimiwa Aweso alisoma katika Shule ya Msingi ya Mwambao, Pangani, Mkoani Tanga (1994-2000) na Elimu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Bagamoyo (2001-2004). Mhe. Aweso alipata Elimu ya Juu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari ya Pugu (2005-2007).
View attachment 3217684
Kati ya mwaka 2007 na 2009, Mheshimiwa Aweso alihudhuria Chuo cha Ualimu cha Morogoro na kutunukiwa Astashahada ya Ualimu. Mheshimiwa Aweso ana Shahada ya Sayansi katika Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, aliyotunukiwa mwaka 2013. Mwaka 2018-2020 Mheshimiwa Aweso alihudhuria na kuhitimu Shahada ya Pili ya Utawala na Uongozi (Governance and Leadership (MAGL) ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).
View attachment 3217687
Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani lililopo Mkoani Tanga mwaka 2015. Mwezi Oktoba 2017, Mhe. Aweso aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, akichukua nafasi ya Mhe. Kamwelwe aliyeteuliwa kuwa Waziri.
View attachment 3217688
Oktoba 2020, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso alipita bila kupingwa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Pangani kwa Awamu ya Pili, 2020-2025. Mwezi Desemba 2020, aliteuliwa kuwa Waziri wa Maji.
View attachment 3217689View attachment 3217690View attachment 3217691View attachment 3217692View attachment 3217693
Akikuoa nawewe anatimiza watatu kaamili!Kwakua ameoa wake wawili, inawezekana .
Na angekua na kifua kipana , mapemaaa kabisa.
Mbona kama unamtukana mwenzio aisee?Akikuoa nawewe anatimiza watatu kaamili!
Huyu bwege hawezi juwa waziri mkuu. Sema nchi imekuwa ya kisengeRais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda.
View attachment 3217686
Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa wala hana Biashara katika Soko la Kariakoo. Hivyo hawezi kuhujumu Uchumi kwa cheo chake
Hivyo inadaiwa eti ndo chaguo namba moja la Mama wa Kizimkazi(Mamalao)
View attachment 3217685
Je, nini maoni yako juu ya Uteuzi huu?
Kwa wale wasiomjua, Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso (Mb) alizaliwa tarehe 22 Machi 1985, Pangani, Mkoani Tanga. Mheshimiwa Aweso alisoma katika Shule ya Msingi ya Mwambao, Pangani, Mkoani Tanga (1994-2000) na Elimu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Bagamoyo (2001-2004). Mhe. Aweso alipata Elimu ya Juu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari ya Pugu (2005-2007).
View attachment 3217684
Kati ya mwaka 2007 na 2009, Mheshimiwa Aweso alihudhuria Chuo cha Ualimu cha Morogoro na kutunukiwa Astashahada ya Ualimu. Mheshimiwa Aweso ana Shahada ya Sayansi katika Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, aliyotunukiwa mwaka 2013. Mwaka 2018-2020 Mheshimiwa Aweso alihudhuria na kuhitimu Shahada ya Pili ya Utawala na Uongozi (Governance and Leadership (MAGL) ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).
View attachment 3217687
Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani lililopo Mkoani Tanga mwaka 2015. Mwezi Oktoba 2017, Mhe. Aweso aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, akichukua nafasi ya Mhe. Kamwelwe aliyeteuliwa kuwa Waziri.
View attachment 3217688
Oktoba 2020, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso alipita bila kupingwa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Pangani kwa Awamu ya Pili, 2020-2025. Mwezi Desemba 2020, aliteuliwa kuwa Waziri wa Maji.
View attachment 3217689View attachment 3217690View attachment 3217691View attachment 3217692View attachment 3217693
Hukuwa na sababu ya kutukana. Au una stress ndo unaziondoa kwa kutukana?Huyu bwege hawezi juwa waziri mkuu. Sema nchi imekuwa ya kisenge