Jumanne inaingia huenda kwa kishindo tokea UAE!!

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,321
Reaction score
1,906
Kwa kweli kama ni hivi inaweza badili kabisa the dynamics za geopolitics za middle east. Rais wa UAE na Mtawala wa Abu-Dhabi Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan alikuwa mtawala thabiti dhidi ya Siasa Kali za Kiislamu na Muslim Brotherhood, Aliwapigania Wayahudi waishi kwa Amani Dubai, alijitahidi kuleta uvumilivu wa kidini Dubai;

Sasa God forbid tunaenda kuamka na huyu Jamaa;
Screenshot_20260217_010426_Chrome.jpg
 
Uzuri n kwamba states zote hapo UAE zina Viongozi wake na utawala wake bila kutegemea kiongozi mkuu wa UAE amesema nini, kiongozi wa Dubai anajua vile raia wa Ulaya/USA ndio muhimu kwake kuliko hata hao Muslim wenzake, ww unadhani kama Dubai wangeeka masharti kama ya Madina na Macca wangekuwa hapo walipo
 
Habari hazijathibitishwa
Kama ni kweli ni relief na Waislam wengi MENA watafurahi

Another zionist puppet gone
Ameshiriki kuua Sudan, Libya, Yemen na kushirikiana kulazimisha Abraham Accord kwa wenzake

Hizo ni Power play dynamics za kifamilia hasa za kiarabu kwa nchi kama KSA, UAE, Qatar, Bahrain na Kuwaiti. Mapinduzi yanafanyika ndani ya familia anatolewa mmoja anawekwa mwingine
Yeye alimuondoa kaka yake Khalifa bin Zayed na yeye wakimtoa (inasemekana amepewa sumu) uongozi wa AbuDhabi na kwa katiba yao Urais wa UAE anapewa huyo mwanaye Khaled
Khaled ni junior na hana ushawishi mkubwa sana nje ya nchi kama viongozi senior wa emirates za Dubai (kina Al Maktoum ) na wa ndani kama wale wa Sharjah (Al Qasimi) au hata baba zake wadogo Sheikh Mansour bin Zayed wa ManCity na Sheikh Tahnoon, deputy ruler wa AD ambaye anaweza kumtoa huyo Khaled, Crown Prince achukue yeye uongozi
Bado political dynamics zinategemeana na collective council ya emirates zote na siyo maamuzi ya mtu mmoja
 
Concern yangu kubwa ni ushiriki wa UAE kwenye civil war ya Sudan. Huyo bin Zayed anawaunga mkono vibaka wa RSF na kusababisha mauaji ya maelfu ya mamilioni wamekuwa wakimbizi. Nitafurahia any changes, of course with some compromises.
 
Umekasirika sivyo!?😂
Huyo makebo yeye ana hasira sana toka atelekezwe kila uzi anaonesha chuki tu. Ameachwa mpweke pamoja na kuwa na Makebo makubwa. Atakutolea povu hapa. Nimeshangaa why amepaniki kwa uzi wako ambao haujagusia kabisa habari za wanaume kuwatelekeza wanawake.
 
Habari hazijathibithitishwa
Kama ni kweli ni relief na Waislam wengi MENA watafurahi

Another zionist puppet gone
Ameshiriki kuua Sudan, Libya, Yemen na kushirikiana kulazimisha Abraham Accord kwa wenzake

Hizo ni Power play dynamics za kifamilia hasa za kiarabu kwa nchi kama KSA, UAE, Qatar, Bahrain na Kuwaiti. Mapinduzi yanafanyika ndani ya familia anatolewa mmoja anawekwa mwingine
Yeye alimuondoa kaka yake Khalifa bin Zayed na yeye wakimtoa (inasemekana amepewa sumu) uongozi wa AbuDhabi na kwa katiba yao Urais wa UAE anapewa huyo mwanaye Khaled
Khaled ni junior na hana ushawishi mkubwa sana nje ya nchi kama viongozi senior wa emirates za Dubai (kina Al Maktoum ) na wa ndani kama wale wa Sharjah (Al Qasimi) au hata baba zake wadogo Sheikh Mansour bin Zayed wa ManCity na Sheikh Tahnoon, deputy ruler wa AD
Bado political dynamics zinategemeana na collective council ya emirates zote na siyo maamuzi ya mtu mmoja
Kwahiyo mtumish hiyo nchi ni ya kifamilia? Na ukitaka kuongoza lazima utokee kwenye familia hiyo?
 
Concern yangu kubwa ni ushiriki wa UAE kwenye civil war ya Sudan. Huyo bin Zayed anawaunga mkono vibaka wa RSF na kusababisha mauaji ya maelfu ya mamilioni wamekuwa wakimbizi. Nitafurahia any changes, of course with some compromises.
Yeah!..hata Saudia,Misri naona wanataka msaada wa UAE kwa RSF usitishwe, hii vita ya Sudan kama vile walimwengu wameisahau japo unyama wa kutisha umetendeka.
 
Kwahiyo mtumish hiyo nchi ni ya kifamilia? Na ukitaka kuongoza lazima utokee kwenye familia hiyo?
UAE inaundwa na familia saba za kifalme, Emirates za Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al Quwein, Ras al Khaimah na Fujairah
Kiongozi, Emir au Amiri wa kila familia ndiyo mkuu wa hizo Emirates
Kiongozi wa familia ya Abu Dhabi ( kubwa kifedha na kiushawishi iliyotoa Rais wa kwanza, Sheik Zayed al Nahyan) ndiyo anakuwa Rais wa UAE automatically
Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anatoka Dubai, Maktoum family
Familia za Emirates nyingine na raia wachache wanatoa viongozi wa Taasisi au mawaziri
Maamuzi ya serikali yanafanywa na Collective Council (Shura) ya wakuu wa hizo familia
 
Ilikuwaje kuwaje hizo family saba zikamiliki nchi nzima? Ulipigwa mkono au kulitokea shida gani
 
mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.

watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?

kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?

waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.
Arabuni weusi wengi tu,acha kubugizwa propaganda, waarabu waliofanya biashara ya utumwa hapa ni kutoka Oman siyo UAE,Oman na hata saudia weusi wengi tu,watumwa wengine walipelekwa India, India kusini kuna weusi wengi tu
 
Ushawahi kujiuliza kwa nchi kongwe kama Uingereza, Oman na Japan bado zinatawaliwa kifalme mpaka leo licha ya kuwa na tofauti kati ya constitutional na absolute monarchy
Nchi kama Denmark, Norway, Sweden Spain, Uholanzi , Ubelgiji, Monaco na hata Vatican bado zina tawala za kifalme wakati hizo za kiarabu nyingi ni miaka ya kuanzia 1920s kwa KSA na miaka ya 1970s kwa UAE, Bahrain, Qatar
Je nao waliwezaje kumiliki utawala wa nchi zao?
 
Arabuni weusi wengi tu,acha kubugizwa propaganda, waarabu waliofanya biashara ya utumwa hapa ni kutoka Oman siyo UAE,Oman na hata saudia weusi wengi tu,watumwa wengine walipelekwa India, India kusini kuna weusi wengi tu
Sahihi kabisa, kuna waaarabu weusi wengi tu, wenye asili ya Afrika
Sultan Qaboos wa Oman, aliyemtangulia huyu wa sasa alikuwa mweusi kabisa na kule waOman wenye asili ya Tanganyika walikuwa wanamuita mndengereko, asili yao Salalaah ,wengi ni mchangamyiko wa Afrika na Arabia
Yemen wapo wanaitwa Wahamash na wapo karibu na Saudi Arabia kusini kwenye weusi wengi tu
mtu anayefuatilia ligi ya Saud au hata timu yao ya taifa utawaona waarabu weusi weng tu
 
Watu wameng'ang'ana kuwachafua waarabu kwa hilo,eti walwahasi, uwongo mtupu
 
mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.

watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?

kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?

waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.
Waarabu hawakuwahi kumnunua mtu mweusi na kumpeleka kwao (bara arab) bali waliwanunua na kwenda kuwauza kwa wazungu (Ulaya) punguza chuki kwa waarabu.

Hiyo history yenu ya kubumba kwasasa haina nafasi vichwani mwa wadadisi wa mambo.
 
Back
Top Bottom