zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Ni 10% ya population ya Saudi Arabia mkuu, hao ni wachache?Mbona wanahesabika?
Ni 10% ya population ya Saudi Arabia mkuu, hao ni wachache?Mbona wanahesabika?
Walitakiwa wawe 60%. Hiyo 10% ni baada yakuhasiwq babu zao.Ni 10% ya population ya Saudi Arabia mkuu, hao ni wachache?
ImeloaKuna weusi wengi nchi za kiarabu kuliko hizo za ulaya na America, na unlike huko kwengine nchi za kiarabu weusi origin yao sio utumwa na Wana nguvu na power kushinda mahala popote Duniani
Weusi wa Arabuni ni
-Matajiri wakubwa
-wa CEO na waendeshaji mashirikia makubwa ambayo sio Tu makubwa Mena Bali Duniani kote.
-watu wenye Elimu na role kubwa kwenye Society. Surname za watu weusi nyingi zipo Associated na watu kama Mainjinia, madaktari etc.
So badala ya kudanganyana someni, internet ipo simple Google search ingekusaidia.
Kwamba watumwa walikua 60% ya wakazi wote wa saudia? Hapo sijaongelea Iraq, Jordan, Oman, Yemen, UAE kote huko kuna makabila ya watu weusi mkuu.Walitakiwa wawe 60%. Hiyo 10% ni baada yakuhasiwq babu zao.
Huoni sasa hivi Dubei Foreigners ni 80% na wenyeji asilia ni 20% tu kwasababu siku hizi hakuna kuhasi. Upo hapo mkuu?Kwamba watumwa walikua 60% ya wakazi wote wa saudia? Hapo sijaongelea Iraq, Jordan, Oman, Yemen, UAE kote huko kuna makabila ya watu weusi mkuu.
Hao wazungu ndio wamepunguza sana population ya watu weus8 mfano Namibia wajerumani walipunguza population ya Namibia kwa zaidi ya 50% huku King Leopold I alipinguza population ya Zaire kwa 60% na sio tu kuhanithi (sterilize), bali alisambaza magonjwa, kata mikono na miguu, weka sumu kwenye mashamba na visima n.k ila kwa sababu ya dini tunaona wazungu ndio walikua wema kuliko waarabu wakati wote ni walewale tu.
Fuatilia tu story ya Leopold 1 huko Zaire utakuja kunipa majibu
Kumbe alfajiri namna hii mtu anaweza kulewa wanzuki.🤷🤷😛😛
Hata Tanganyika kwenyewe kama isingekuwa biashara haramu ya utumwa sasa hivi Tanganyika tungekuwa na idadi ya watu milioni 250 sawa tu na Nigeria.Kwamba watumwa walikua 60% ya wakazi wote wa saudia? Hapo sijaongelea Iraq, Jordan, Oman, Yemen, UAE kote huko kuna makabila ya watu weusi mkuu.
Hao wazungu ndio wamepunguza sana population ya watu weus8 mfano Namibia wajerumani walipunguza population ya Namibia kwa zaidi ya 50% huku King Leopold I alipinguza population ya Zaire kwa 60% na sio tu kuhanithi (sterilize), bali alisambaza magonjwa, kata mikono na miguu, weka sumu kwenye mashamba na visima n.k ila kwa sababu ya dini tunaona wazungu ndio walikua wema kuliko waarabu wakati wote ni walewale tu.
Fuatilia tu story ya Leopold 1 huko Zaire utakuja kunipa majibu
Una maoni gani kuhusu Congo chini ya Mfalme Leopold wa ubelgiji na wajerumani kule Namibia unajua walipunguza population zaidi ya 50%?Hata Tanganyika kwenyewe kama isingekuwa biashara haramu ya utumwa sasa hivi Tanganyika tungekuwa na idadi ya watu milioni 250 sawa tu na Nigeria.
Hapa ndio unafiki ulipo, watu wa asili ya hapo ni wale Red indians kama cherokees et al, je walikwenda wapi? Kwanini population yao badala ya kuongezeka imepungua by 90%? Unajua kama walifanyiwa genocide na watu weupe ili wasije kuwa mwiba kwao kwa siku za mbele!!Marekani tumeona akina Obama wakiukwaa urais tena kwa mihula miwili mfululizo na tumeona pia akina Gen Collins Powell na Condolizza Rice wakishikilia nyadhifa kubwakubwa.
Sasa huko uarabuni weusi wa huko wenyewe wanatambulikaje mbona hata hatuwasikii au wenyewe bado wako tu utumwani wanasafisha vyoo vya waarabu na misikiti.
1. Hapana wengi hao ni expats, yaani watu wanaohamia kibiashara tu na uwekezaji na hata kati yao wahamiaji weusi ni chini ya 10%.Huoni sasa hivi Dubei Foreigners ni 80% na wenyeji asilia ni 20% tu kwasababu siku hizi hakuna kuhasi. Upo hapo mkuu?
Sasa hao expat enzi hizo wangehasiwa. Ila kwasababu ya utandawazi na haki za binadamu ndo maana unawaona wanashamiri. La sivyo wote wangehasiwa.1. Hapana wengi hao ni expats, yaani watu wanaohamia kibiashara tu na uwekezaji na hata kati yao wahamiaji weusi ni chini ya 10%.
2. Sasa enzi hizo hata mafuta hayajagundulika ilikua nchi maskini tu so hakuna incentive ya wageni kuhamia.
3. Sasa basi una wakazi milion 1 je utakua na watumwa million 1 pia? La hasha so wanaweza kuwa watu elfu 10-50 kuhudumia maana walikua wanauzwa pesa nyingi pia so sio kila familia ilimudu.
Hivyo watu elfu 10 ulitarajia wawe million 20 leo hii? Kumbuka pia wakizeeka walikua wanapelekwa miji mingine mbali huko na hata wengine kununua uhuru wao na kuondoka!!
Ni kweli kabisa wahamiaji kutoka Ulaya walipoenda nchini Marekani walishiriki katika mauaji ya wenyeji wa huko ambao walikua ni jamii ya wahindi wekundu.Hapa ndio unafiki ulipo, watu wa asili ya hapo ni wale Red indians kama cherokees et al, je walikwenda wapi? Kwanini population yao badala ya kuongezeka imepungua by 90%? Unajua kama walifanyiwa genocide na watu weupe ili wasije kuwa mwiba kwao kwa siku za mbele!!
So unaposifia watu weusi kuwa emancipated USA basi fahamu watu wa asili ya hapo walishapotezwa kabisa na hao wazungu.
Ni kweli kabisa kwamba wakoloni walifanya uovu mwingi ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mauaji ya wenyeji katika mataifa ya Congo DRC na Namibia.Una maoni gani kuhusu Congo chini ya Mfalme Leopold wa ubelgiji na wajerumani kule Namibia unajua walipunguza population zaidi ya 50%?
Hata mfalme Al Saud alikua black flan siyo kama mbs anayeshinda kwenye kiyoyoziWatu weusi mbona wengi sana uarabuni angalia. Angalia hii jamii ya HAWSAWI ni weusi kabisa wa karne za kutosha hapo Saudi Arabia.
Hawsawi: Uncovering the history of Saudi Arabia’s Afro-Arab Hausa community
Hii propaganda ife rasmi
Watumwa walioenda uarabuni ni wachache kuliko population za DRC, Namibia au Red indians ambazo zilifanyiwa genocide na wazungu.Ni kweli kabisa wahamiaji kutoka Ulaya walipoenda nchini Marekani walishiriki katika mauaji ya wenyeji wa huko ambao walikua ni jamii ya wahindi wekundu.
Lakini hilo halibatilishi ukweli kwamba waarabu nao walifanya mauaji ya kimbare kwa jamii ya waafrika waliokuwa wakiwasafirisha kuwapeleka utumwani barani Asia.
Imani za kidini zisitufanye tuwe wanafiki.
Ninachokikataa ni unafiki wa kusema huyu kaua wachache wakati yule kaua wengi bila ushahidi wowote wa kuthibitisha madai husika.Watumwa walioenda uarabuni ni wachache kuliko population za DRC, Namibia au Red indians ambazo zilifanyiwa genocide na wazungu.
So mzungu aliua sana kuliko hata waarabu, hiki ndio nataka uelewe. Hata Afrika kusini pale waafrika kibao waliuwawa na kupandikizwa ukimwi ili wasizaane!! Sijui kwanini tunapenda kuona wazungu wana nafuu wakati ndio wameua mababu zetu wengi zaidi
Ila Padri kuvaa yale magauni na rozali ndio ustaarabu? Tuache chuki za kidiniHaya maisha bana,jitu Jeusi kuliko hata mkaa lina sidga kwenye paji la uso,linashindia kanzu na ndani boxer tu,masaa 24 linatembea tembea na ule ushanga wenye vigoroli.Pamoja na haya yote likienda uarabuni linaitwa nyani na waarabu lakini bado linakuwa proud kuwa liislamu