Jumanne inaingia huenda kwa kishindo tokea UAE!!

Watu wameng'ang'ana kuwachafua waarabu kwa hilo,eti walwahasi, uwongo mtupu
Marehemu Ukiwaona Ditopile Mzuzuri alikuwa anasema ni tongotongo hizo zimewajaa machoni, hata exposure hawana wanaendekeza propaganda
 
Ushawahi kujiuliza kwa nchi kongwe kama Uingereza, Oman na Japan bado zinatawaliwa kifalme mpaka leo licha ya kuwa na tofauti kati ya constitutional na absolute monarchy
Nchi kama Denmark, Norway, Sweden Spain, Uholanzi , Ubelgiji, Monaco na hata Vatican bado zina tawala za kifalme wakati hizo za kiarabu nyingi ni miaka ya kuanzia 1920s kwa KSA na miaka ya 1970s kwa UAE, Bahrain, Qatar
Je nao waliwezaje kumiliki utawala wa nchi zao?
Jamaa yangu mimi nakuuliza swali na wewe tena unaniuliza swali

Mimi nimeuliza maana yake sijui ndo naomba kujuzwa wewe tena unaniuliza maswali ya wingeleza na Oman yaan kama nimeshindwa kujua ya Dubai hayo ya huko Spain nitayajuaje
 
mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.

watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?

kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?

waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.
Waarabu watumwa wao wanaume waliowapeleka huko Asia kwanza kabisa walikuwa wanahakikisha kwamba wanawahasi kabla ya kuwapandisha kwenye ngalawa tayari kuanza safari ya kuwapeleka huko.

Hiyo ndio sababu iliyopelekea jamii ya hao watumwa (wapagazi) uzao wao usiwepo huko Asia.

Huu ukatili wa waarabu wa mara kujilipua na kuua watu haujaanza leo ni asili yao ya toka enzi na enzi.
 
Uzuri n kwamba states zote hapo UAE zina Viongozi wake na utawala wake bila kutegemea kiongozi mkuu wa UAE amesema nini, kiongozi wa Dubai anajua vile raia wa Ulaya/USA ndio muhimu kwake kuliko hata hao Muslim wenzake, ww unadhani kama Dubai wangeeka masharti kama ya Madina na Macca wangekuwa hapo walipo
Hata huko Abu Dhabi kwenyewe hakuna sheria kali kihivo, wala hawatofautiani sana na Dubai kwenye sheria, sheria kali zipo kwenye zile Emirate nyingine
 
Wewe ndio umehudhunika sana
Mimi hayanihusu hayo, kwa sasa namaliza kucheza PS5 na dogo wangu, anyway tuko timezone tofauti, halafu naenda kuswali Ishaa.
Umehudhunika Ndio Kadudu Gani..??
Umehuzunika✔️...Punguza Kucheza Ps5,,,Ongeza Juhudi Kwenye Kuswali Ewe Maamuma...
 
mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.

watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?

kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?

waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.
Kuna weusi wengi nchi za kiarabu kuliko hizo za ulaya na America, na unlike huko kwengine nchi za kiarabu weusi origin yao sio utumwa na Wana nguvu na power kushinda mahala popote Duniani

Weusi wa Arabuni ni
-Matajiri wakubwa
-wa CEO na waendeshaji mashirikia makubwa ambayo sio Tu makubwa Mena Bali Duniani kote.
-watu wenye Elimu na role kubwa kwenye Society. Surname za watu weusi nyingi zipo Associated na watu kama Mainjinia, madaktari etc.

So badala ya kudanganyana someni, internet ipo simple Google search ingekusaidia.
 
Watu wameng'ang'ana kuwachafua waarabu kwa hilo,eti walwahasi, uwongo mtupu
Ni kweli waliwahasi. Waarabu walianza kuchukua waafrika weusi kama watumwa hata kabla ya wazungu slave trade hata kina Mudi walikuwa na watumwa weusi.
 
Ilikuwaje kuwaje hizo family saba zikamiliki nchi nzima? Ulipigwa mkono au kulitokea shida gani
Nchi nyingi za kiarabu ni jangwa hakuna Mali, kihistoria empire kubwa kubwa kama persia, Ottoman na kwengineko walikua wanalikwepa Hilo jangwa, hata wakati wa ukoloni hapakutawaliwa hapo.

Hao emirate hizo familia zilikuwa na urafiki na Uingereza kuwasaidia kupigana na pirates Baharini, since then wakawa na protection ya jeshi la Uingereza,

Then kukafuatia vita ya waarabu na ottoman empire, walivyoshinda waarabu ndio zikatokea hizo nchi unazoziona sasa. Vile vi nchi vidogo vidogo vikaambiwa viungane, vilikua 8, mmoja akakataa ikatoka Qatar, saba wakakubali ikawa hio UAE,

So familia ya Chief ndio unakuwa rulling family na familia nyengine zinaunda senate kuongoza nchi, sema ukisikia familia usifkiri ni kikundi Tu cha watu kadhaa ni equivalent ya kabila huku.

Mfano Qatar wapo kama laki 3 ila Familia ya kifalme Al Thani wapo kama 20,000
 
Safi sana bro wewe kibwengo gallow bird njoo ujisomee hapa uongeze marifa
 
Ni kweli waliwahasi. Waarabu walianza kuchukua waafrika weusi kama watumwa hata kabla ya wazungu slave trade hata kina Mudi walikuwa na watumwa weusi.
Lete majina ya watatu waliohasiwa,kama walihasiwa hao weusi hapo Oman kusini na saudia walitoka wapi?
 
mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.

watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?

kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?

waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.
Watu weusi mbona wengi sana uarabuni angalia. Angalia hii jamii ya HAWSAWI ni weusi kabisa wa karne za kutosha hapo Saudi Arabia.

Hawsawi: Uncovering the history of Saudi Arabia’s Afro-Arab Hausa community

Hii propaganda ife rasmi
 
Ni kweli waliwahasi. Waarabu walianza kuchukua waafrika weusi kama watumwa hata kabla ya wazungu slave trade hata kina Mudi walikuwa na watumwa weusi.
Kama walihasiwa hawa waafrika wa Hausa walitokea wapi huko Saudi Arabia?
 
mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.

watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?

kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?

waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.
Nchi ambayo inatuhuma nzito ya weusi ni argentina
 
Waarabu watumwa wao wanaume waliowapeleka huko Asia kwanza kabisa walikuwa wanahakikisha kwamba wanawahasi kabla ya kuwapandisha kwenye ngalawa tayari kuanza safari ya kuwapeleka huko.

Hiyo ndio sababu iliyopelekea jamii ya hao watumwa (wapagazi) uzao wao usiwepo huko Asia.

Huu ukatili wa waarabu wa mara kujilipua na kuua watu haujaanza leo ni asili yao ya toka enzi na enzi.
Propaganda!! kwahiyo hao weusi waliopo Iraq, Saudi, Yemen huwaoni?

Back
Top Bottom