Umekasirika sivyo!?😂Wewe ndubwi unakaa kijiji cha Idukilo, halafu unashoboka na maisha ya Dubai inakuhusu nini ? wewe pambna na anophlensi wanaokung'ata mida hii na ule kiporo cha mchana ukalale
Wewe ndio umehudhunika sanaUmekasirika sivyo!?😂
Huyo makebo yeye ana hasira sana toka atelekezwe kila uzi anaonesha chuki tu. Ameachwa mpweke pamoja na kuwa na Makebo makubwa. Atakutolea povu hapa. Nimeshangaa why amepaniki kwa uzi wako ambao haujagusia kabisa habari za wanaume kuwatelekeza wanawake.Umekasirika sivyo!?😂
Kwahiyo mtumish hiyo nchi ni ya kifamilia? Na ukitaka kuongoza lazima utokee kwenye familia hiyo?Habari hazijathibithitishwa
Kama ni kweli ni relief na Waislam wengi MENA watafurahi
Another zionist puppet gone
Ameshiriki kuua Sudan, Libya, Yemen na kushirikiana kulazimisha Abraham Accord kwa wenzake
Hizo ni Power play dynamics za kifamilia hasa za kiarabu kwa nchi kama KSA, UAE, Qatar, Bahrain na Kuwaiti. Mapinduzi yanafanyika ndani ya familia anatolewa mmoja anawekwa mwingine
Yeye alimuondoa kaka yake Khalifa bin Zayed na yeye wakimtoa (inasemekana amepewa sumu) uongozi wa AbuDhabi na kwa katiba yao Urais wa UAE anapewa huyo mwanaye Khaled
Khaled ni junior na hana ushawishi mkubwa sana nje ya nchi kama viongozi senior wa emirates za Dubai (kina Al Maktoum ) na wa ndani kama wale wa Sharjah (Al Qasimi) au hata baba zake wadogo Sheikh Mansour bin Zayed wa ManCity na Sheikh Tahnoon, deputy ruler wa AD
Bado political dynamics zinategemeana na collective council ya emirates zote na siyo maamuzi ya mtu mmoja
mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.Umekasirika sivyo!?😂
Yeah!..hata Saudia,Misri naona wanataka msaada wa UAE kwa RSF usitishwe, hii vita ya Sudan kama vile walimwengu wameisahau japo unyama wa kutisha umetendeka.Concern yangu kubwa ni ushiriki wa UAE kwenye civil war ya Sudan. Huyo bin Zayed anawaunga mkono vibaka wa RSF na kusababisha mauaji ya maelfu ya mamilioni wamekuwa wakimbizi. Nitafurahia any changes, of course with some compromises.
UAE inaundwa na familia saba za kifalme, Emirates za Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al Quwein, Ras al Khaimah na FujairahKwahiyo mtumish hiyo nchi ni ya kifamilia? Na ukitaka kuongoza lazima utokee kwenye familia hiyo?
Ilikuwaje kuwaje hizo family saba zikamiliki nchi nzima? Ulipigwa mkono au kulitokea shida ganiUAE inaundwa na familia saba za kifalme, Emirates za Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al Quwein, Ras al Khaimah na Fujairah
Kiongozi, Emir au Amiri wa kila familia ndiyo mkuu wa hizo Emirates
Kiongozi wa familia ya Abu Dhabi ( kubwa kifedha na kiushawishi iliyotoa Rais wa kwanza, Sheik Zayed al Nahyan) ndiyo anakuwa Rais wa UAE automatically
Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anatoka Dubai, Maktoum family
Familia za Emirates nyingine na raia wachache wanatoa viongozi wa Taasisi au mawaziri
Maamuzi ya serikali yanafanywa na Collective Council (Shura) ya wakuu wa hizo familia
Arabuni weusi wengi tu,acha kubugizwa propaganda, waarabu waliofanya biashara ya utumwa hapa ni kutoka Oman siyo UAE,Oman na hata saudia weusi wengi tu,watumwa wengine walipelekwa India, India kusini kuna weusi wengi tumnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.
watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?
kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?
waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.
United arab Emirates ni muunganiko wa vijitawala vingi vidogo,mtindo wa utawala arabuni ni wa kisultan/ufalmeIlikuwaje kuwaje hizo family saba zikamiliki nchi nzima? Ulipigwa mkono au kulitokea shida gani
Ushawahi kujiuliza kwa nchi kongwe kama Uingereza, Oman na Japan bado zinatawaliwa kifalme mpaka leo licha ya kuwa na tofauti kati ya constitutional na absolute monarchyIlikuwaje kuwaje hizo family saba zikamiliki nchi nzima? Ulipigwa mkono au kulitokea shida gani
Sahihi kabisa, kuna waaarabu weusi wengi tu, wenye asili ya AfrikaArabuni weusi wengi tu,acha kubugizwa propaganda, waarabu waliofanya biashara ya utumwa hapa ni kutoka Oman siyo UAE,Oman na hata saudia weusi wengi tu,watumwa wengine walipelekwa India, India kusini kuna weusi wengi tu
Watu wameng'ang'ana kuwachafua waarabu kwa hilo,eti walwahasi, uwongo mtupuSahihi kabisa, kuna waaarabu weusi wengi tu, wenye asili ya Afrika
Sultan Qaboos wa Oman, aliyemtangulia huyu wa sasa alikuwa mweusi kabisa na kule waOman wenye asili ya Tanganyika walikuwa wanamuita mndengereko, asili yao Salalaah ,wengi ni mchangamyiko wa Afrika na Arabia
Yemen wapo wanaitwa Wahamash na wapo karibu na Saudi Arabia kusini kwenye weusi wengi tu
mtu anayefuatilia ligi ya Saud au hata timu yao ya taifa utawaona waarabu weusi weng tu
Waarabu hawakuwahi kumnunua mtu mweusi na kumpeleka kwao (bara arab) bali waliwanunua na kwenda kuwauza kwa wazungu (Ulaya) punguza chuki kwa waarabu.mnashobokea ujinga. nikuulize swali moja.
watumwa ambao ni mabibi na babu zetu waliuzwa East na west. kule arabuni unaona ngozi nyeusi?
kule Amerika Caribbean nk unaona weusi? asili yao ni Africa. Kule arabuni weusi wamefia wapi.?
waarab sio watu wa kukaa nao wala kuwafikiria.