Jumanne Muliro: Askofu Gwajima akitaka, akate rufaa (rufaa inakatwa kwa Waziri Bashungwa)

Hawana jeuri yoyote ata usiku wa manane kufungia kanisa katoliki hapa inchini,, hawana hiyo jeuri kabisa.
 
Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.

Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
katoliki? Unajua nguvu za katoliki lakini? Pale hawatathubutu kupeleka vikosi vya kijeshi.
 
Wakitaka wanafungia. Hata Magufuli alitishia kufungia Lutheran
Asingeweza.
Katolic, Lutheran na sabato kidogo labda usumbuane na viongozi ila sio kuyafungia sababu nao wanafanya kazi kama serikali, sio yale makanisa yanayomilikiwa na mchungaji. Ukifungia kanisa katolic joto utakalopata kesho utafungua na kuomba radhi.
 
jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani ๐Ÿ’

Yesu akasema: "Asiyekuwa mwongo na mzinzi awe wa kwanza kurusha jiwe."

Kufumba na kufumbua waliokuwa washitaki walikuwa wametoweka wote kwa spidi ya ngiri!
 
Yesu akasema: "Asiyekuwa mwongo na mzinzi awe wa kwanza kurusha jiwe."

Kufumba na kufumbua waliokuwa washitaki walikuwa wametoweka wote kwa spidi ya ngiri!
gwajima ni mzinzi na muongo mno gentleman ๐Ÿ’
 
Huyu mzee sura yake ni ya kuzimu kabisa
 
๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ