Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja

Yaani mtu unaongea habari za FWD na Hoover halafu unachanganya na habari za Gerald Hando? seriously?
 
Tena zama za Mkapa Nchi ilikuwa haikopesheki,Deni limeilemea Hadi Nchi iliposamehewa chini ya mpango wa HIPC.

Kote huko hatukuona hiyo jumnne nyeusi 😁😁
 
Tanzania [emoji1241] itabadilika bila kupitia majanga yoyote!
Hakuna cha Jumanne Nyeusi wala baba yake Jumanne Nyeusi!
Acha kukariri mambo ya wazungu wewe[emoji35]
Tiririka kwa data kama Mikiki alivyojimwaga hapo juu.

Acha uchawa
 

Attachments

  • Screenshot_20230103_183340_WhatsApp.jpg
    63.9 KB · Views: 5
Mkopo Trillioni 1.3 - Tunalipa Trillion 10, hivi ni kwanini hili taifa tusipigwe tu bomu la Nyuklia tuanze upya? Eti jamani , nyie mnaonaje kwani?
 
wewe ni mjinga .yanii hujui pesa za uviko nimefanya nini? kama hujui hata hilo basi wewe ni bure.yani madarasa yaliyojengwa nchi nzima hukuyaona?pumbavuuuu
 
Nimeishiwa hapo uliposema Ongezeko la 23%

Hii nchi itabakia kuwa masikini kwa akili za kijinga kama za kwako
 
Una chuki binafsi na Rais huna lolote la maana , mbona kwa MAGU mlikaa kimya.!!

ACHENI RAIS AFANYE KAZI YAKE.
 
Umejibu kirahisi Sana

Jipe muda kutafakari vitu bila kuwa mtumwa wa mahaba
Idadi kubwa ya wajinga ndio matatizo la nchini yetu, ngoja tuendelee kutoa elimu maana watoto wao watakuja kusoma ujinga wao hapa. Kambaku rudia kutoa elimu Taifa lina wajinga hili mpaka basi
 
Kama serikali yako wameshindwa kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi wetu, hata nilite nyaraka hapa utatoa ujinga wako uliyokuwepo kichwani.

Wazungu wanachukua mali hata barabara hakuna, alafu unajengewa barabara na Tozo unakenua meno kama mtoto.

Wale waliokuwa wanampongeza Magu Kwa kujenga kwa Pesa za ndani. Ndiyo wale wale walioshangilia na wanaompongeza Rais Samia Kwa kuruhusu Mikopo. Ni aibu Taifa kuwa na watu wa namna hii.
 
Umeshindwa kueleza Rasilimali za Taifa zinafanya nini katika nchini,alafu unaeleza ujinga wa mikopo unaeleta mafanikio katika nchi. tuna vijana wa hovyo sana nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…