Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja

wewe ni mjinga .yanii hujui pesa za uviko nimefanya nini? kama hujui hata hilo basi wewe ni bure.yani madarasa yaliyojengwa nchi nzima hukuyaona?pumbavuuuu
Madarasa yamejengwa kwa mkopo , hayo madarasa hayachangii chochote kwenye kulipa huo mkopo, ila mkopo lazma ulipe
 
Madarasa yamejengwa kwa mkopo , hayo madarasa hayachangii chochote kwenye kulipa huo mkopo, ila mkopo lazma ulipe
Yani Dreamnaire hata umuulize Paskali Mayalla hajui fedha za rasilimali zetu zinafanya kazi gani?

tunacheka kama wajinga kila siku, eti Mikopo ndio mkombozi ujinga sana huu
 
LAZIMA TUKOPE HAKUNA NAMNA MIRADI ILIANZISHWA MINGI KWA MKUPUO HAIWEZI KUSUBIRISHWA NI LAZIMA TUKOPE TUKAMILISHE TUPIME TIJA YAKE, HAKUNA JAMBO BAYA KAMA MTU MZIMA KUJITOA UFAHAMU. WAKATI UNAFAHAMU KWANINI TUNAKOPA, IPO SIKU MIRADI ITAKAMILIKA NA TUNAONA FAIDA ZAKE PAMOJA NA KULIPA MADENI.
 
Tangu 1961 mpaka leo nchi kama imekatwa mkia.
 
Mnaomuunga mkono bwana kaka basi fanyeni muandamane ili tuone juhudi zenu kama zitaweza kutushawishi
 
Tangu 1961 mpaka leo nchi kama imekatwa mkia.
Barabara ya uhuru ilikopewa fedha mwaka 63 deni lake limekuja kuisha 2020.
Mikopo ya kimaendeleo ni jambo la kawaida kwani tukumbuke itafika mahala hatutahitaji tena mikopo kwa sababu miundombinu yote muhimu kwa taifa itakuwa imekamilika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa viongozi gani?
 
Tutafika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…