Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?
Mkuu mabasi mengi ya kusini yanaanzia temeke na mbagala ingawa kuna machache yanaanzia mbezi terminal magari mazuri ya kupanda ni baraka classic,buti la zungu na king yasin nauli kwa sasa itakuwa kwenye 30-35kSijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.
Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?
Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?
Nawasilisha.
Kuna mwaka nilisafiri. Nauli kutoka Dar - Lindi ni 23,000 na kutoka Dar - Mtwara ni 23,000.Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.
Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?
Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?
Nawasilisha.
Haya ni Full time AC? Na watu wastaarabu?Mkuu mabasi mengi ya kusini yanaanzia temeke na mbagala ingawa kuna machache yanaanzia mbezi terminal magari mazuri ya kupanda ni baraka classic,buti la zungu na king yasin nauli kwa sasa itakuwa kwenye 30-35k
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.
Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?
Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?
Nawasilisha.
Mtwara unaenda kufanya nini? Nasafiri kwenda Mtwara jumanne pia ila naondoka na private na kurudi na ndege.Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.
Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?
Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?
Nawasilisha.
1.Baraka ya dodoma,But la zungu,king yasin,chagua kati ya hzoSijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.
Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?
Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?
Nawasilisha.
Kuna issue naenda fanya kuonana na wadauMtwara unaenda kufanya nini? Nasafiri kwenda Mtwara jumanne pia ila naondoka na private na kurudi na ndege.
Hakuna Hotel ya tsh 40,000 hizo ni nyumba za wagen za hovyoPanda baraka classic au tavavili.......
Ukifika mtwara mwambie boda akupeleke hotel/Lodge ya hadhi Yako. Mwambie za 20-30 utapata.
Ukiweka vitu sawa, mpigie huyo boda akuletee "mgeni wa chapu"