Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.

1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.

Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?

Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?

Nawasilisha.
 
Mkuu mabasi mengi ya kusini yanaanzia temeke na mbagala ingawa kuna machache yanaanzia mbezi terminal magari mazuri ya kupanda ni baraka classic,buti la zungu na king yasin nauli kwa sasa itakuwa kwenye 30-35k
 
Kuna mwaka nilisafiri. Nauli kutoka Dar - Lindi ni 23,000 na kutoka Dar - Mtwara ni 23,000.
Hapa ndiyo nilishangaa ni sawa mtu kutoka Dodoma kwenda Mwanza na mtu kutoka Dodoma kwenda Shinyanga mjini wanalipa nauli sawa.
 
Mkuu mabasi mengi ya kusini yanaanzia temeke na mbagala ingawa kuna machache yanaanzia mbezi terminal magari mazuri ya kupanda ni baraka classic,buti la zungu na king yasin nauli kwa sasa itakuwa kwenye 30-35k
Haya ni Full time AC? Na watu wastaarabu?
 
Panda baraka classic au tavavili.......

Ukifika mtwara mwambie boda akupeleke hotel/Lodge ya hadhi Yako. Mwambie za 20-30 utapata.

Ukiweka vitu sawa, mpigie huyo boda akuletee "mgeni wa chapu"
 
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.

1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.

Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?

Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?

Nawasilisha.

Mabasi mazuri buti la zungu,baraka,tashirf,maning nice,ward nk kuhusu luxury kuna basi ya baraka cheki nao.

Nauli 30k kuanzia ila luxury inazidi kidogo

Kama utaondoka sa12 asbh tarajia kufika mtwara sa8 hadi sa9 mchana huwa ni mwendo wa masaa8 hadi 10

Hotel/lodge hapa ni mfuko wako tu zipo nyingi nzuri,cheki na bodaboda au tx drivers wape requirements zako watakusaidia.

Wadau wapo wengi sana,kama ni mtu wa kujichanganya utaenjoi wikiend vibe lipo the shouters karibu sana mtwara.

Usisahau kula samaki nangurukuru kilwa pale mashujaa complex.

Safari njema
 
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.

1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.

Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?

Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?

Nawasilisha.
Mtwara unaenda kufanya nini? Nasafiri kwenda Mtwara jumanne pia ila naondoka na private na kurudi na ndege.
 
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.

1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.

Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?

Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?

Nawasilisha.
1.Baraka ya dodoma,But la zungu,king yasin,chagua kati ya hzo
2.Vnauli 33-36k
3.Umbali wa masaa kuanzia 7 hadi 9 itategemea na poleni ya dar
4.Temeke Sudani ndio magari yapo.
5.Hotel nzuri kama vile NAF beach ipo karibu kabisa na bahar bei kuanzia 40k na kuendelea,
I.Tiffany hotel( wanaipenda sana ma celebrates kuanzia 80k-120k,Luna luwa hotel nk
6.Totozi zipo za kutosha,wachuo wa Cotc,Utumishi,TIA,na lulu wa kienyeji wa kutosha
 
Enzi ile ya akida nishawahi panda na abiria kabeba mbwa... Kusini kuchelee
 
Back
Top Bottom