Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye bei rafiki sehemu ambayo si mbali pia na Mji.
Je kuna wana JF wa Jinsia ya Kike kwanza ambao tunaweza kutana na kubadilishana mawazo?
Je wapo wa Jinsia ya kiume pia ambao tunaweza salimiana?
Nawasilisha.