Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mtoto anamchapa vibao mzazi wake ni siku hizi!...(Why?)Izi myths mbn kama siku izi hazifanyi kazi
Nipe hata coca bro nipe haraka chupa limeamka na chai.....Tuna caca 🥤 na vimto ya mahadhi ya tanga 😃
Zama za kale sana wanawake walionekana kama ndiyo wachawi wakubwa na hatari kwa bleeds zao, kilichoorodheshwa hapo ni 20% ya nguvu za 🩸,80% ya matumizi yake siwezi weka hapa ni hatari sana.Nipe hata coca bro nipe haraka chupa limeamka na chai.....
Bro hebu tuache 😂😂😂Zama za kale sana wanawake walionekana kama ndiyo wachawi wakubwa na hatari kwa bleeds zao, kilichoorodheshwa hapo ni 20% ya nguvu za 🩸,80% ya matumizi yake siwezi weka hapa ni hatari sana.
Ha ha ha / Upo pia uwezekano na ufundi kidogo sana wa kufanya na kumfanya mume wako akawa na bahati za ajabu sana katika maisha haya na dhiki asiijue maishani/ kwa 🩸.Bro hebu tuache 😂😂😂
Hiyo kitu huwa ina super natural power ya ajabu sana infact its mother of all evils!...Kuna siku moja tukiwa bush, jamaa alishitakiwa ofisi ya mtendaji kwa tuhuma za kupiga mke wake kisa, mke wake alienda kwenye shamba lake matikiti maji bika ruhusa. Jamaa anadai mwanamke akienda kwenye shamba la tikiti maji akiwa na hedhi maua yote yanakauka. 😊
Pilipili na achali ya mbilimbi nazo zije?Niwekee kidogo, mwambie dada alete na Pepsi ya baridi sana 😁