Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu.
Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu wanamshahara mdogo na wanafanya kazi katika mazingira magumu.
Bei za vyakula zinapanda juu, mafuta, maisha yanakuwa magumu. Wanakamuliwa kwa ajili ya maslahi ya wachache.
Tuanze kufunga na kuomba walinzi wafanye hiyo kazi au ajali ziwaondoe aina ya viongozi hao wakishetani. Wasiojali maisha ya watanzania maskini.