Kuishi kitajiri kwa expense ya waumini ni sawa?Mimi ninawafahamu watu kadhaa wanasali hapo kanisani kwake na ni matajiri hatari
Kuishi kitajiri kwa namna yoyote ile si dhambi.
Ingekuwa dunia inafuata hayo mawazo yako basi tungekuwa nyuma sana
... ishi kadiri ya uwezo wako
Ulitaka usikie wapi??sadaka ni siri na Aonaye sirini(Mungu) ndiye anayeona
Wewe unataka uone kama nani??si lazima uone.
Halafu Kakobe alikudanganya nini?
Hebu weka wazi hapa tujadili.
Alisema, nimekumbuka.Kwa sababu ana pesa kuliko serikali basi isiwe kesi
Anyway, wewe kuna watu unawajua. Mimi nimesali mpaka makanisa ya nyumbani ya hilo kanisa.Mimi ninawafahamu watu kadhaa wanasali hapo kanisani kwake na ni matajiri hatari
Kuishi kitajiri kwa namna yoyote ile si dhambi.
Ingekuwa dunia inafuata hayo mawazo yako basi tungekuwa nyuma sana
... ishi kadiri ya uwezo wako
Ulitaka usikie wapi??sadaka ni siri na Aonaye sirini(Mungu) ndiye anayeona
Wewe unataka uone kama nani??si lazima uone.
Halafu Kakobe alikudanganya nini?
Hebu weka wazi hapa tujadili.
Kwa expense ya waumini kivipi??Kuishi kitajiri kwa expense ya waumini ni sawa?
Hao ninaokwambia wanasali hilo lililoko dar yaani aliko huyo Kakobe, achilia wale wanaosali kwenye matawi yake yaliyopo karibu tz nzima.Anyway, wewe kuna watu unawajua. Mimi nimesali mpaka makanisa ya nyumbani ya hilo kanisa.
Hayo yana uhusiano gani na hiyo nyumba?Makanisa ya nyumbani ya kwa Kakobe unayajua yanafanyikaje ??
hhahahaa kalumbu unanifurahishaga hapo tuu.....unajua kupambanaHayo yana uhusiano gani na hiyo nyumba?
Maisha miongoni mwa binadamu hayawezi kulingana. Hata akisema awagawie waumini wake wote hela za kujengea nyumba hiyo, pengine hawawezi kununua hata godoro la 6x6Wapi huko? Ona wanavyoishi maisha ya kifahari wakati waumini wao wanaishi maisha ya kikapuku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hhahahaa kalumbu unanifurahishaga hapo tuu.....unajua kupambana
siku ya wanawake lini nikupost.....leo umekua haji manara wa mtumishi kakobe
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kandoo huyu mtiifu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya wanawake sijui tar ngapi
Ikifika nipost Kalumbu.
Unajua kuna watu huwa wanapenda sana kuongea ongea pasi hata na kuonyeshwa na Roho wa Mungu na maneno ya namna hiyo yana gharama zake.
Mtu analala anaamka amesikia Kakobe hivi na hivi,basi naye anaunga tera oh Kakobe hivi ..wengi tu humu hata kwenda kusali kwake hawajawahi,namna alivyofanikiwa hawajui ila wapo humu kuropoka !
Wamekosea hapo waliobadili lugha camel pale ni kamba na si ngamiaHakika mimi ni Tomaso! Bwana Mwokozi alisema "ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni"!! Sasa unataka kusema Bwana wetu mwokozi alitupiga changa la macho, au ni hawa mitume wetu ndio hawalifuati neno la Mwokozi?!
Hawa vijana ni brain washed kabisa.Teh teh...mpe mpe huyo [emoji1787][emoji16]
Hatuwezi kutoa sadaka ili mtumishi aishi maisha ya kifahari yaliyopitiliza kwa sadaka zetu..huu ni utapeli.Kwa expense ya waumini kivipi??
Alienda mdhulumu yeyote hela??
Unajua nini kuhusu sadaka kwa ajili ya makundi maalumu?
-Wahitaji
-Watumishi wa Mungu
Unaelewa chochote kuhusu hayo makundi??
Kabda hatujaendelea kujadili hilo nashauri tujifunze kwanza haya masomo.
Kuna mtu alikulazimisha kutoa sadaka huko??Hatuwezi kutoa sadaka ili mtumishi aishi maisha ya kifahari yaliyopitiliza kwa sadaka zetu..huu ni utapeli.
Ndo maana Wasabato na Waislamu wanaonekana ni watu wanaojielewa when it comes to mambo ya imani.
Hawajalazimishwa ila waumini wengi wamekuwa brainwashed..Mimi najielewa na siwezi kwenda kusali kwa hawa watu na kama ni sadaka basi nitampa asiyejiweza.Kuna mtu alikulazimisha kutoa sadaka huko??
Unajua sadaka kila mtu anatoa kulingana na Roho anavyomsukuma ndani,wewe unaweza usisikumwe kutoa huko lakini wengine wakasukumwa kutoa huko..kwahiyo kila mtu na jinsi anavyoguswa..huwezi kumpangia mtu atoe sehemu fulani na umeshaambiwa walihimizana kwa hiari kufanya hivyo..kwanini wewe uumie??
Bado hujanijibu swali langu..
Somo kuhusu sadaka kwa makundi maalumu unalijua??
nakuelewa st Annie ingawa mambo ya dini haya sipo deep kivile ila nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya wanawake sijui tar ngapi
Ikifika nipost Kalumbu.
Unajua kuna watu huwa wanapenda sana kuongea ongea pasi hata na kuonyeshwa na Roho wa Mungu na maneno ya namna hiyo yana gharama zake.
Mtu analala anaamka amesikia Kakobe hivi na hivi,basi naye anaunga tera oh Kakobe hivi ..wengi tu humu hata kwenda kusali kwake hawajawahi,namna alivyofanikiwa hawajui ila wapo humu kuropoka !