Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
MashaAllah. BarakallahPopote Ulaya tatizo ni pesa.
Mzee wetu hana makuu ila anaishi sana. Hili ndilo hekalu lake lililopo hapo Fumba Town.
Ni moja ya makazi rasmi ya mfanyabiashara Said Salim Awadh Bakhressa.
Jumba hilo lenye thamani ya Tshs Bilioni 30, lina kila kitu ambacho mwanadamu angetaka kutumia.
Lina vyumba vya kutosha vya kuishi, swimming pool, gym, vyumba vya kisasa vya mikutano, maktaba, Parking, Eneo la kutosha la kubarizi upepo, Vyumba vya ibada nk
Nakupa maua yako Bakhresa ingali uko hai, na hauna kelele hata kidogo.
Unaweza kukuta hata mke hana.Hivi mwamba ana wake wangapi
Ukute ana mke mmoja tu.Wenye hela wengi,kipaumbele chao siyo ngono,sisi maskini ndiyo tunaweka kipaumbele kwenye ngono.Wao(matajiri),starehe zao ni nyingi sana,sisi starehe zetu ni zile za jumla.Hivi mwamba ana wake wangapi
Ipo karibu na ChattleFumba ndo wapi?
Kuna nyingine anayo masakijman watu wanaishi,kituo kinaitwa bakresa hapo masaki ana nyumba nilijua hotel bhana
Popote Ulaya tatizo ni pesa.
Mzee wetu hana makuu ila anaishi sana. Hili ndilo hekalu lake lililopo hapo Fumba Town.
Ni moja ya makazi rasmi ya mfanyabiashara Said Salim Awadh Bakhressa.
Jumba hilo lenye thamani ya Tshs Bilioni 30, lina kila kitu ambacho mwanadamu angetaka kutumia.
Lina vyumba vya kutosha vya kuishi, swimming pool, gym, vyumba vya kisasa vya mikutano, maktaba, Parking, Eneo la kutosha la kubarizi upepo, Vyumba vya ibada nk
Nakupa maua yako Bakhresa ingali uko hai, na hauna kelele hata kidogo.
Unguja,zanzibarFumba ndo wapi?
Naona hapa ndiyo umekuja kumletea kelele sasa! 😄 jokeshauna kelele hata kidogo
Ile barabara inajaza ombaomba wanamvizia yeye akipita awaungieKuna nyingine anayo masakijman watu wanaishi,kituo kinaitwa bakresa hapo masaki ana nyumba nilijua hotel bhana