Popote Ulaya tatizo ni pesa.
Mzee wetu hana makuu ila anaishi sana. Hili ndilo hekalu lake lililopo hapo Fumba Town.
Ni moja ya makazi rasmi ya mfanyabiashara Said Salim Awadh Bakhressa.
Jumba hilo lenye thamani ya Tshs Bilioni 30, lina kila kitu ambacho mwanadamu angetaka kutumia.
Lina vyumba vya kutosha vya kuishi, swimming pool, gym, vyumba vya kisasa vya mikutano, maktaba, Parking, Eneo la kutosha la kubarizi upepo, Vyumba vya ibada nk
Nakupa maua yako Bakhresa ingali uko hai, na hauna kelele hata kidogo.