Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Usitamani utajiri wa mwenzio ujui anayopitia ridhika na dagaa lako
Alio kwambia nimetaman nani?,wapi nimeandika nmetaman.Kiuhalisia nilishangaa maana nlijua hotel na watu maskin huwa wanaenda kuomba hela pale hasa wakati wa ramadhan ukitaka kuamin nenda mwenyewe utaona.mimi nilipitishwa na rafiki yangu anae kaa mita hiohio yaan watu wanaishi jaman achen tu
 
Sasa kila mtu akijenga shule na hospitali....si Sawa na na ushirikina tu.
Ni kweli, wao hutumia fedha zao kufadhili mpira wa miguu tuu, huku watu wakifa vijijini kwa kukosa huduma Bora za afya na wengine wanabaki kwenye lindi la umaskini kwa kukosa elimu bora
 
Ukute ana mke mmoja tu.Wenye hela wengi,kipaumbele chao siyo ngono,sisi maskini ndiyo tunaweka kipaumbele kwenye ngono.Wao(matajiri),starehe zao ni nyingi sana,sisi starehe zetu ni zile za jumla.
Ila sisi tuna enjoy ngono kuliko Wao

Unapanda kitandani unawaza Vita ya Ukraine itasababisha Ngano kuadimika sijui dola imeadimika sijui mafuta yataadimika mara TRA wanakuja kwny Tax Audit n.k

Mie napanda kitandani nawaza pambano tu mengine ntayajua hiyo hiyo asubuhi na Mwenye nyumba akinisumbia yeye ndio ataanza kupata tabu ya kunitafuta mie sitafuti mtu hovyo hovyo kwanza sijajiunga na bando la kuongea
 
Kuomba uleta umasikini
 
Unaambiwa mifumo ya ulinzi ya hiyo nyumba ya Bakresa imeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya usalama ya CIA huko Langley, Virginia USA... Kukitokea hata mwanga anapita usiku kutaka kumloga Mzee Bakresa basi lazima alarm iite kwenye simu ya mkurugenzi mkuu wa CIA, ambapo yeye huziamrisha ndege za kivita zisizo na rubani (drones) kuwa tayari kwa lolote. Hizo ndege huwa zimepaki pwani ya Afrika Mashariki maalum kwa kumlinda Bakresa... kilichonishangaza ni ule mfumo wa ulinzi unaoweza kunusa hatari kupitia joto la mwili na mapigo ya moyo kwa yeyote mwenye nia mbaya ndani ya nyumba ya mzee. Mtaalamu wa ulinzi alisema waliweka huo mfumo kudhibiti udokozi
 
Jengo hilo lipo sehemu ganii mana wengine Fumba town hatupajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…