Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

 
...kuoa Mke zaidi ya mmoja sio swala la pesa,ni uanaume yaani ni yale maamuzi ya kiume aambayo mtu huzaliwa nayo....

Kunywa Soda popote ulipo nalipia. Watu wengi huhisi kuoa mke zaidi ya mmoja ni suala la uwezo wa kifedha kitu ambacho sio sahihi kabisa. Ni kweli fedha husaidia kurahisisha mambo ila hilo suala moja kwa moja linanasibiana na uiamara wa kimaamuzi wa mwanamme.
Kuna watu wana fedha chafu humu halafu bado wanawaogopa kabisa wake zao.
 
Kuna jamaa zangu wana mawe lakini ukiwaambia issue za kuoa ata mke mmoja ......wanaingiwa na uoga.,ndo nlipokuja kugundua kuoa ni maamuzi ya mtu either mke mmoja au watatu...
 
Like seriously πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…