Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Kilaza umeshatia nangaAnaenda nazo zote Kaburini Akifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilaza umeshatia nangaAnaenda nazo zote Kaburini Akifa?
Raia yeyote analindwa akikidhi vigezo.Tukiweka matani pembeni kuna baadhi ya nyumba za matajiri zinalindwa na polisi kabisa achana na kampuni za ulinzi
Onyesha na jumba la LE MUTUZPopote Ulaya tatizo ni pesa.
Mzee wetu hana makuu ila anaishi sana. Hili ndilo hekalu lake lililopo hapo Fumba Town.
Ni moja ya makazi rasmi ya mfanyabiashara Said Salim Awadh Bakhressa.
Jumba hilo lenye thamani ya Tshs Bilioni 30, lina kila kitu ambacho mwanadamu angetaka kutumia.
Lina vyumba vya kutosha vya kuishi, swimming pool, gym, vyumba vya kisasa vya mikutano, maktaba, Parking, Eneo la kutosha la kubarizi upepo, Vyumba vya ibada nk
Nakupa maua yako Bakhresa ingali uko hai, na hauna kelele hata kidogo.
Mzee nakuheshimu sana embu nishushe kwenye kigari chako hichiUnaambiwa mifumo ya ulinzi ya hiyo nyumba ya Bakresa imeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya usalama ya CIA huko Langley, Virginia USA... Kukitokea hata mwanga anapita usiku kutaka kumloga Mzee Bakresa basi lazima alarm iite kwenye simu ya mkurugenzi mkuu wa CIA, ambapo yeye huziamrisha ndege za kivita zisizo na rubani (drones) kuwa tayari kwa lolote. Hizo ndege huwa zimepaki pwani ya Afrika Mashariki maalum kwa kumlinda Bakresa... kilichonishangaza ni ule mfumo wa ulinzi unaoweza kunusa hatari kupitia joto la mwili na mapigo ya moyo kwa yeyote mwenye nia mbaya ndani ya nyumba ya mzee. Mtaalamu wa ulinzi alisema waliweka huo mfumo kudhibiti udokozi
Unaambiwa mifumo ya ulinzi ya hiyo nyumba ya Bakresa imeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya usalama ya CIA huko Langley, Virginia USA... Kukitokea hata mwanga anapita usiku kutaka kumloga Mzee Bakresa basi lazima alarm iite kwenye simu ya mkurugenzi mkuu wa CIA, ambapo yeye huziamrisha ndege za kivita zisizo na rubani (drones) kuwa tayari kwa lolote. Hizo ndege huwa zimepaki pwani ya Afrika Mashariki maalum kwa kumlinda Bakresa... kilichonishangaza ni ule mfumo wa ulinzi unaoweza kunusa hatari kupitia joto la mwili na mapigo ya moyo kwa yeyote mwenye nia mbaya ndani ya nyumba ya mzee. Mtaalamu wa ulinzi alisema waliweka huo mfumo kudhibiti udokozi
Sawa mkenyaWatanzania wanapenda paisha bei za vitu
Kama mumeoNyuzi kama hizi unagundua mwandishi ana upeo wa Kuku anae tegwa kwa mchele
Mhindi tajiri aliyefariki hivi karibuni ni yupiSSB anadunda ila umri umeenda sana.
La jfLa kawaida mbona...bado haujaona langu..😳😳😳
Masikini akijifarijiBora uwe na afya nzuri ulale nje kuliko jumba kubwa ukawa mgonjwa.
Mamaa yaaaangu🙄🙄mnazngumzia kuoa mke zaid ya mmoja et ksa mwnyepesa awaz zaidi ngono
uongo huoo !!! big NO
wanaume wote wliokamilka ni wapenz wa tendo eidha ngono ama tendo la ndoa ambae aoi zaidi ya wawl eidha dini yake haimruhusu..!! hana uwezo wa kuwahudumia (umasikini) ama hana uwezo wa kuwahudumu hawo wanwke yan kuwamudu kama mume (tendo )
alaf kwnye ndoa akuna ngono wakuu kwnye ndoa ni tendo la ndoa
ngono ni kwa wazinzi huko
vingnevyo ukimuona mtu ana pesa na ana mke mmoja na dini inamrhusu ujue hawawez hawo wanawke prd
au kijamii anaonekana na mke mmoja ila anao wnwke rundo huko in his shoes!! anawakula kmyamya
A man who is complete and sex are two sides of the same coin they r inseparable
Wa hivyo,wanajenga shule,hospitali n.k indirectly kwa kulipa kodi mbalimbali.Wa hivyo hawajengagi shule Wala hospitali