Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Na baba yake Mo kafariki lini?

Sent using Jamii Forums mobile app

We Ulisikia wapi?

BG.JPG
 
Masaki anazo mbili Kuna hii ipo barabara ya kutokea St.Joseph hiyo ni ya kukutana na marafiki zake na kuchoma mishkaki na kula Gomba.Yeye anaishi Ile ya karibu na Slip way.
Nyieeee 😆😆😆😂😂😂😂🤣🤣🤣nimeamin kunawatu tunasindikiza wenzetu waishi 😀😀😀😀
 
Nyieeee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeamin kunawatu tunasindikiza wenzetu waishi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We acha tu mkuu Mimi nimepata bahati ya kukutana na watu hapa bongo Kuna watu wanaishi aiseeee.
 
Unaambiwa mifumo ya ulinzi ya hiyo nyumba ya Bakresa imeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya usalama ya CIA huko Langley, Virginia USA... Kukitokea hata mwanga anapita usiku kutaka kumloga Mzee Bakresa basi lazima alarm iite kwenye simu ya mkurugenzi mkuu wa CIA, ambapo yeye huziamrisha ndege za kivita zisizo na rubani (drones) kuwa tayari kwa lolote. Hizo ndege huwa zimepaki pwani ya Afrika Mashariki maalum kwa kumlinda Bakresa... kilichonishangaza ni ule mfumo wa ulinzi unaoweza kunusa hatari kupitia joto la mwili na mapigo ya moyo kwa yeyote mwenye nia mbaya ndani ya nyumba ya mzee. Mtaalamu wa ulinzi alisema waliweka huo mfumo kudhibiti udokozi
Watu kama wewe mnasababisha watu tupate burudani hapa na tuishi miaka mingi 😂 😂😂.
 
Baadhi ya kauli ya ambao hatujapata pesa ..
1.pesa inanunua nyumba ila pesa hainunui usingizi
2.Hata uwe na mali kiasi gani hutazikwa nayo
3.Pesa inanunua chakula ila hainunui hamu ya kula
HAYA TUENDELEZE ZINGINE KWA COMMENT
Kauli za kumfariji masikini hizo.
 
mtu flani alisema hivi!

Kadiri tunavyozeeka na kuwa na hekima zaidi, tunatambua polepole kwamba kuvaa saa ya $300 au $30 zote mbili hutoa wakati mmoja.Tuwe na pochi ya $300 au mkoba au $30, kiasi ndani ni sawa.Tunaendesha gari la $150,000 au gari la $30,000, njia na umbali ni sawa, na tunafika mahali pale pale. Iwe nyumba tunayoishi ni futi za mraba 300 au 3000, upweke ni uleule. Kwa jinsi hiyo utatambua kwamba furaha yako ya kweli ya ndani haitokani na vitu vya kimwili vya ulimwengu huu,bali na Mungu. Na Ardhi tunaokanyaga leo ndio paa letu la kesho.

Huyo ni Steve Jobs[emoji736]
 
Unaambiwa mifumo ya ulinzi ya hiyo nyumba ya Bakresa imeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya usalama ya CIA huko Langley, Virginia USA... Kukitokea hata mwanga anapita usiku kutaka kumloga Mzee Bakresa basi lazima alarm iite kwenye simu ya mkurugenzi mkuu wa CIA, ambapo yeye huziamrisha ndege za kivita zisizo na rubani (drones) kuwa tayari kwa lolote. Hizo ndege huwa zimepaki pwani ya Afrika Mashariki maalum kwa kumlinda Bakresa... kilichonishangaza ni ule mfumo wa ulinzi unaoweza kunusa hatari kupitia joto la mwili na mapigo ya moyo kwa yeyote mwenye nia mbaya ndani ya nyumba ya mzee. Mtaalamu wa ulinzi alisema waliweka huo mfumo kudhibiti udokozi
😀😀😀😀😁😁😁😃😃😃😂😂😂 Ivi mwenyewe akiona comment ka hii inamuhusu atacheka,ata shangaa au atasikitika 😀😀😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 maana mm vyote vimenijia kwa wakat mmoja.
 
Back
Top Bottom