Km unasikiliza mizik tofauti af ukaja kuwaasikiliza utajua, mf. music arrangement, jalibu kusikiliza happy b.day ya Harmonise na I'm addicted ya Steve RnB. Sikiliza Sikomi ya Diamondi na Usisahau wa Timbulo. Context, sikiliza Je utanipenda na Will u still love me the same, Zilipendwa na ile ya matonya. Lyrics, kwenye nyimbo na P.square kuna mashairi ya All night long, kwenye halelujah kuna mashairi ya joe thomas na ile waka waka sijui aliipendea nini toka kwa Ney. Harmonise anajitahidi lkn Dai ukimsikiliza vzr anaunga unga uandishi
wake, mara anashtua kijoti mara km ronaldo mara fire yaan ni makorokocho. Rayvan anajua niwe mkweli labda km kuna mtu
anamuandikia. Sikiliza hata ile walioimba
wanaotoka kigoma, wenzake wameimba vitu vinavyohusu TZ, Diamond yeye anamuimba mama yake, shee!