Jumbe aeleza alivyofuatwa na Wasafi kumuomba wimbo wake "Siri"

Jumbe aeleza alivyofuatwa na Wasafi kumuomba wimbo wake "Siri"

We mshamba nini! Kenya wamjue FA ili iwe nini? Kwani tunaongelea kenya au mziki?Kina mtu alikuwa anajulikana EA km Mr.Nice?Mr.Nice na Marijani Rajabu nani utaweza kusikia nyimbo ikipigwa au ikirudiwa kwa urahisi kwa kizazi cha leo? Mziki unaishi, ndo maana wasafi kutwa kuimba nyimbo za watu kwasababu watu walitunga vizuri, sasa hayo makorokocho yenu ya sasa kuna kizazi kitakuja kuyaimba hapo baadaye?
Harmonise na hasa Rayvan wanapenda kuandika mashairi yanayoeleweka na ndo maa labda kaifanya hyo Siri, lkn Queen,Mavoko na kaka mtu ni kushoot movie na wasanii wa mbele. Sikiliza Njalo aliyoshirikishwa Jide au Jide na Ngoni, hizo kolabo unasema walijipanga lkn hii kukurupukia wasani wambele wkt huna cha kuimba ni ulimbukeni. Naheshimu Diamond aliyofanya Papa Wemba, Neyo hata ule Mari lkn zngine ni moshi wa mabua ukimaliza kuangalia unafuta maana unajaza memory bure. FA hajulikani kenya, sawa AY anajulikana kaimba na kingston, sijui nani ok, swali; utaufanisha uwezo AY na FA kwenye game?
kijana kwani Wcb wamerudia nyimbo ngapi mpka sasa? Maana mimi navyojua ni Salome na hyo siri ya rayvanny na vp mavoko na Queen darling wao wamerudia nyimbo zipi za zamani?
 
Me nadhan kutumia wimbo wa mwenzio kama hao jamaa wanavyofanya lazma uhangaishe kichwa kwanza....coz huwez kuimba kama wa mwanzo alivoimba....so sio kwamba jamaa wanalala tu!!!
 
kijana kwani Wcb wamerudia nyimbo ngapi mpka sasa? Maana mimi navyojua ni Salome na hyo siri ya rayvanny na vp mavoko na Queen darling wao wamerudia nyimbo zipi za zamani?
Km unasikiliza mizik tofauti af ukaja kuwaasikiliza utajua, mf. music arrangement, jalibu kusikiliza happy b.day ya Harmonise na I'm addicted ya Steve RnB. Sikiliza Sikomi ya Diamondi na Usisahau wa Timbulo. Context, sikiliza Je utanipenda na Will u still love me the same, Zilipendwa na ile ya matonya. Lyrics, kwenye nyimbo na P.square kuna mashairi ya All night long, kwenye halelujah kuna mashairi ya joe thomas na ile waka waka sijui aliipendea nini toka kwa Ney. Harmonise anajitahidi lkn Dai ukimsikiliza vzr anaunga unga uandishi
wake, mara anashtua kijoti mara km ronaldo mara fire yaan ni makorokocho. Rayvan anajua niwe mkweli labda km kuna mtu
anamuandikia. Sikiliza hata ile walioimba
wanaotoka kigoma, wenzake wameimba vitu vinavyohusu TZ, Diamond yeye anamuimba mama yake, shee!
 
Mkuu hapo kwenye wimbo wa KIGOMA umepotosha umma...ebu nambie mstari mmoja tu ambao alimsifia mama ake kwenye hiyo ngoma..na mbona kaisifia sana Kigoma!
 
Smokey aliitwa siku ya celebration na alitambulishwa kama mtu ambaye wimbo wake ulimtambulisha MJ duniani na ilikua siku ya watu ambao walimnyanyua au walinyanyuliwa na MJ kutoa ushuhuda acha ubishi
Km nlivokueleza walikua underground, na hadi huo mwaka wanato huo wimbo wa smokey bado walikuwa wanatumbuiza ktk ufunguz shoo za akina Diana. Na huo wimbo upo kwenye album ya Diana Representin J5, Na nyimbo kali humo ni I want u back sema kwakua alirudia ndo maana waka muapoint smokey maana Motown rec walikua na group la song writers ndo walioandika I want u back na zingine, sema whos loving you kwakua ulishakua umesikika masikion mwa watu ila kiukweli aliemtoa mj ni Ross, na waliitana mother n son na katika wosia wake alisema akifa mamaake watoto wake na malizake asimamie Diana km atakua hai.
 
Wabongo acheni wivu wa kichokochoko wimbo wa tupac do for love ameiga kwa bob cadwell ,50 cent wimbo kama wait untill to night kaiga kutoka kwa bob wormack, wewe mkaanga sumu unaona kama diamonf na wasafi kwa ujumla kama hawana jipya wakati wenzako wamefanya hayo mambo longi sana acha ushamba wewe mziki ni burdani.
 
Mkuu hapo kwenye wimbo wa KIGOMA umepotosha umma...ebu nambie mstari mmoja tu ambao alimsifia mama ake kwenye hiyo ngoma..na mbona kaisifia sana Kigoma!
Acha kukurupuka kijana, kwanza hakuna wimbo unaoitwa KIGOMA. Nmesema wasanii wa kigoma, zpo nyimbo maarufu mbili nenda kasikilize afu urudi hapa
 
Mtoa maada hebu jielimishe maana ya Sampling katika music. Nadhan hujui suala la wasanii kurudia nyimbo ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom