Jumbe za dira ya maendeleo, je umechangia nini? Ni kweli mawazo yetu yatazingatiwa au wanapoteza muda wetu?

Jumbe za dira ya maendeleo, je umechangia nini? Ni kweli mawazo yetu yatazingatiwa au wanapoteza muda wetu?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Nimepokea sms takriban 8 kwa wiki hii kujulishwa kuhusu dira ya taifa ya maendeleo itayodumu mpaka 2050 kupitia kifaa changu cha mkononi ila nimeshindwa kuwajibu kwa sababu kuu mbili simu inaji-cancel before sijamaliza kujibu na sababu nyingine uchangiaji upo very limited siwezi kuchangia kwa uwanda mpana, hivyo kama kuna uwezekano tunaomba mtafute njia nyengine ya kutoa mapendekezo yetu kuhusu hili dodoso.

Mwisho, tunachangia au tayari mshatutengenezea hiyo dira yenu?
 
Back
Top Bottom