Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

Kwa mantik yako ni kwamba huduma standard ni paka ulipie??

Yaan serekali hawezi kufanya Jambo likawa standard paka watu walipe

Ubepari na western culture umewaharibu saana.

Swala la afya na elim ni jukumu mama la serekali kuhakikisha inatoa huduma standard,

Oky unajua ni watanzania wangapi watamudu hiyo 6m

Hiyo Tu 1.8 m ya mhimbili kama hamna mkopo watu wanashindwa
Yani umeuliza swali, halafu kabla sijajibu, umeshanijibia, ukanihukumu hapohapo.

Huna nia ya kuelewa, una nia ya kushinda ubishi.
 
Back
Top Bottom