Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

Hongera sana kijana... kiukweli una wito mkubwa kwenye tasnia ya UJINGA. Hakika wewe ni mfano wa kuigwa miongoni mwa WAJINGA wote jinsi unavyoipigania "Tasnia ya UJINGA"
 
Tafuta hela hutakuwa na Mawazo butu km haya.Hebu fuatilia Ada ya Tanganyika International Schools,kwa mwaka mmoja ni Milioni 72,Fedha ya Kitanzania,sasa Wazazi wanaosomesha watoto huko wangekuwa na fikra km zako sidhani km ingewezekana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Medicine is expensive all over the world zaidi unavyogusa hizo private institutions, mkuu exposures ya private ni kubwa.

Investment inayotolewa huko ni zaidi. Mfano, Mwanafunzi anayepata dvn 1.7govt na yule mwenye the same dvsn toka private inayoeleweka mara nyingi wa private anakuwa competent zaidi.
 
Kwani unalazimishwa? Huna hela acha! Au nenda kwenye vyuo vya uchochoroni ambavyo havitambuliki! Alafu peleka cheti chako hicho ili kupata usajili wa kianza kutibu watu! Hapo ndo utaelewa
 
Kitu pekee ninachokijua kwa elimu ya bongo upande wa afya ni ndoto nyingi za wanafunzi kuwa madaktari huzimwa na competence ya ufaulu kidato Cha sita Ili mtu afinikiwe kwenda chuo chenye gharama nafuu ambavyo vyote ni vya serikali kama MUHAS, UDOM, UDSM (tawi la medicine lipo mbeya nafikiri) Hawa ada zao at least zipo chin kwa sababu wanagharamikiwa na serikali sehemu kubwa ila kupata nafasi ya kusoma inabidi uwe na ufaulu mkubwa Sana, (kwa miaka ya hivi karibuni) ada za private ni kubwa kidogo ila baadhi ya vyuo kiukweli ni kubwa mno mfano Kampala na Kairuki japo kitaaluma sioni tofauti na sie wengine tena si ajabu tumewazidi, wengi wanapenda hivyo vyuo wanatoka familia zenye uwezo na wengine hawategemei mkopo ambao kwa serikali mkopo asilimia mia upande wa afya tuition fee ni 3100000, sijui kama wameshabadilisha gharama inayobaki unaongezea mwenyewe., Kwa sababu ya gharama hzo na wengine kukosa mkopo wanaachana na kozi ya udaktari na kutafuta kozi zingine ambazo siyo malengo yao, kupata hivyo vyuo vyenye gharama kubwa vigezo vyao siyo vikubwa ukilinganisha na vyuo kama MUHAS, UDOM, UDSM, ni pesa ndio Ina mater.
 
Kweli kabisa mkuu.
Ndoto nyingi zinaharibika form 6.
 
Kweli kabisa mkuu.
Ndoto nyingi zinaharibika form 6.
Hicho kitu watu hawakijui, ila wenye uwezo kifedha hawawazi mara mbili mbili ni kuwakimbiza watoto nchi za nje kutoka a na vigezo vya ufaulu pia, japo wakirudi bongo wanakutana na kitu kizito Cha mtihani wa Baraza la madaktari Ili kupata leseni, au wanawekewa equivalent qualifications kulingana na vyuo walivyosoma na kukutana na mambo magumu zaidi
 

Ukiwa na mawazo ya usome, ili upate kazi, ili upate mshahara huwezi kufikiria mambo ya patent.

Utaona hayo ni mambo ya wazungu tu.

Na humo ndimo watu wetu wengi wamo, hata wasomi.
 
Wewe ndo muongo, nimesoma KCMUCo, ambayo mnaita KCMC ada ilikuwa 3.6M nimemaliza 2020, na ni private, msiwe mnadanganya watu
Unaweza kuthibitisha kwamba waliodahiliwa mwaka 2023 nao wanalipa 3.6 M. Inawezekana wewe unazungumzia kiasi unachotoa baada ya mkopo wa bodi wakati tunazungumzia ada kwa ujumla na sio ile unayoongezea.

Na kama KCMC ada 3.6 basi watakuwa na ufadhili wa nje as subsides
 
Bongo changamoto.ni watu wachache ambao wamesoma vitu walivyopenda.

Mfano saiv form 4 mtu kabalance masomo ya science anapelekwa Art au mwingine kachaguliwa chuo na kozi ambayo aipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…