ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Yep, kama una uwezo it is absolutely worth it. Huwezi kufa njaa kama Daktari. Huo mshahara unaurudisha mwaka wa kwanza kazini. Madaktari wanahitajika kila nchi duniani.View attachment 2893856
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
Mambo ya patent ni bahati Yani pata potea sio given kwamba ukipursue lazima upate, so itakuwa ni ujinga wa hali ya juu kuinvest million 40 kwaajili ya kufukuzia bahati nasibuUkiwa na mawazo ya usome, ili upate kazi, ili upate mshahara huwezi kufikiria mambo ya patent.
Utaona hayo ni mambo ya wazungu tu.
Na humo ndimo watu wetu wengi wamo, hata wasomi.
Kipindi nasoma kulitokeaga mgomo na main reason ilikuwa ada ni kubwa ilikuwa around 4.2M, kulingana na uongozi thabiti wa serikali ya wanafunzi chuoni ada ilikujaga kupunguzwa mwaka 2017 na kuwa 3.6M chin ya uongozi wa JPM na chuo kikafungiwa baadhi ya kozi kutokudahili na sababu zingine, mpaka namaliza ada ilikuwa hivyo hapo unakuwa umelipia kila kituUnaweza kuthibitisha kwamba waliodahiliwa mwaka 2023 nao wanalipa 3.6. Inawezekana wewe unazungumzia kiasi unachotoa baada ya mkopa wa bodi wakati tunazungumzia ada na sio ile unayoongezea.
Na kama KCMC ada 3.6 basi watakuwa na ufadhili wa nje as subsides
Dah amakweli, na daktari wa kawaida general medicine akienda private mf. TMJ analipwa shingapi?Hapana Mkuu Daktari Bingwa Anaanza na Mshahara wa TGHS G ambao ni sawa na Tsh 2,270,000/ Basic..
Labda kama ni private ila kwa serikali huo ndio mshahara..
Ukiona watu wanalia Mtuhurumie..😀
Kiukweli hailipi kama mzazi wa Kimaskini atauza mifugo na mashamba yake ili amsomeshe mtoto wake huko, mwisho wa siku analipwa mshahara hiyo, it doesn't make sense.Ukiwa na mawazo ya usome, ili upate kazi, ili upate mshahara huwezi kufikiria mambo ya patent.
Utaona hayo ni mambo ya wazungu tu.
Na humo ndimo watu wetu wengi wamo, hata wasomi.
Yep, kama una uwezo it is absolutely worth it. Huwezi kufa njaa kama Daktari. Huo mshahara unaurudisha mwaka wa kwanza kazini. Madaktari wanahitajika kila nchi duniani. Unatafuta kazi popote baada ya kupata uzoefu.
...Bahati mbaya huyo Genius wa Satarani hajatokes, na Bei Iko hivyo hivyo !!...[emoji57][emoji57]Is it worth it kwa muktadha gani? Kwa nani?
Swali la is it worth it halijakamilika, kwa sababu halina muktadha.
Tukiwa na genius anayekuja kugundua dawa ya kutibu saratani, ambaye kakosa nafasi kwingine kote, hiyo ada ni cheap sana, kwa sababu huyu genius ukimpa lift kidogo tu ya formal education, anakwenda kugundua dawa itakayokuja kuwa na thamani ya mabilioni ya dola za Kimarekani na kuokoa maisha ya watu wengi sana.
Hapo ada hiyo ni rahisi sana, kwa sababu tutajiunga watu wachache na kuweka scholarship huyo genius asome, tukijua kuwa miaka michache atazalisha faida kubwa sana kwa jamii. Faida ambayo ukiilinganisha na hiyo ada, hiyo ada ni peanuts tu.
Ukiwa na mtu mbumbumbu kwenye kusoma ambaye hawezi kuelewa kitu medical school, hata ada ikiwa bure, huyo it is not worth it kusoma chuo bure, kwa sababu atapoteza muda tu, inawezekana kipaji chake ni soka si medical school. Waliosoma uchumi hapo watajua kuwa hata ukisoma bure bado kuna "opportunity cost".
Sasa, kwa nini tunaishia gia ya kwanza kuuliza swali la "is it worth it" bila muktadha?
Is it worth it for whom? For the right candidate, hiyo ada is very cheap. For the wrong candidate, hata ada ikiwa bure, medical school is not worth it.
Vyuo vya serikali vingi vinakuwa subsidized na serikali na huduma ni mbovu sana. Juzi nilikuwa nasoma uzi unaelezea mtu alivyopata shida ya kunguni, wakaja watu wanatoa ushuhuda kunguni walivyojaa UDSM kwenye vyumba wanavyolala wanafunzi.
Ukitaka huduma standard, ni kazima ulipie hela standard. Watanzania wengi tumelemazwa na Ujamaa, ni hodari wa kudai huduma standard lakini hatutaki kulipia.
Kwa hali ilivyo sasa kwa ushindani wa biashara na idadi ya Madaktari walivyo wengi wakikupendelea sana haitazidi 1.5 MDah amakweli, na daktari wa kawaida general medicine akienda private mf. TMJ analipwa shingapi?
Kama mzazi ana uwezo sa hivi ni kumpeleka mtoto nje ya nchi akasome anachokipenda, na Kuna baadhi ya nchi kama China gharama zao ni ndogo kwa baadhi ya koziBongo changamoto.ni watu wachache ambao wamesoma vitu walivyopenda.
Mfano saiv form 4 mtu kabalance masomo ya science anapelekwa Art au mwingine kachaguliwa chuo na kozi ambayo aipendi.
Hospitali kama hizo wengi wanapiga party time tu, mkataba unakuwa limited na muda unaofanya kazi na procedures mtu anazofanyaKwa hali ilivyosasa kwa ushindani wa biashara na idadi ya Madaktari walivyo wengi wakikupendelea sana haitazi 1.5 M
Sasa ile ni Taasisi ya kanisa ina vyanzo vingi na wadau wengi huko nje sio sawa na private, sasa mbona CUHAS ipo juu na hawajagoma na kwenye udahili wanakimbilia huko zaidi ya KCMCKipindi nasoma kulitokeaga mgomo na main reason ilikuwa ada ni kubwa ilikuwa around 4.2M, kulingana na uongozi thabiti wa serikali ya wanafunzi chuoni ada ilikujaga kupunguzwa mwaka 2017 na kuwa 3.6M chin ya uongozi wa JPM na chuo kikafungiwa baadhi ya kozi kutokudahili na sababu zingine, mpaka namaliza ada ilikuwa hivyo hapo unakuwa umelipia kila kitu
Ni kweli mkuu mimi na jamaa yupo Aga Khan polyclinic fulani analalamika sana kuhusu maslai akasema mambo sio kama zamaniHospitali kama hizo wengi wanapiga party time tu, mkataba unakuwa limited na muda unaofanya kazi na procedures mtu anazofanya
Ada ya CUHAS kweli ni ndefu nilimpeleka dogo 2021 MD 1 ada ilikuwa 5200000 na points kama nakumbuka vizuri, sijajua wale walikwama wapi maana hata wa nyuma yao gharama zao inaonekana ni humo humoSasa ile ni Taasisi ya kanisa inavyanzo vingi na wadau wengi huko nje sio sawa na private, sasa mbona CUHAS ipo juu na hawajagoma na kwenye udahili wanakimbilia huko zaidi ya KCMC
Sa hv ma specialist ni wengi, sio kama zamani na vijiwe vya Private ni vingi, kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yakeNi kweli mkuu mimi na jamaa yupo Aga Khan polyclinic fulani analalamika sana kuhusu maslai akasema mambo sio kama zamani
Ni kweli mkuu.Kama mzazi ana uwezo sa hivi ni kumpeleka mtoto nje ya nchi akasome anachokipenda, na Kuna baadhi ya nchi kama China gharama zao ni ndogo kwa baadhi ya kozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muuza chips anapata faida ya laki tisa kwa mwezi ukimaanisha anamzidi daktari, basi taja muuza chips aliyefungua chuo au hoteli nami nikutajie madaktari waliofungua hospitali.
Kairuki yenyewe yenye mjadala hapa ni zao la daktari unayedai anazidiwa na muuza chips, tena ana na hospitali ukiachana na chuo. Au wauza chips nao wana vyuo
Mtu mwenye uwezo atafanya patent hata 40, anaweza kukosa 39, akapata moja tu, na hiyo moja ikazibeba zote hizo 39.Mambo ya patent ni bahati Yani pata potea sio given kwamba ukipursue lazima upate, so itakuwa ni ujinga wa hali ya juu kuinvest million 40 kwaajili ya kufukuzia bahati nasibu
"Elimu ya MJINGA ni Majungu"Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it?
Ni vingi ila wataalam ni wengi zaidi ya vijiwe hivyo kwa hiyo kwa wenye Speciality ndio wanafaidi ila wa degree moja bila connection ni shida na tena malipo sio ya uhakika.Sa hv ma specialist ni wengi, sio kama zamani na vijiwe vya Private ni vingi, kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
1.5 wengine kama wanakufhamu zaidi inaweza ikafika 1.6Dah amakweli, na daktari wa kawaida general medicine akienda private mf. TMJ analipwa shingapi?