Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

View attachment 2893856

Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250​


Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo

Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
Yep, kama una uwezo it is absolutely worth it. Huwezi kufa njaa kama Daktari. Huo mshahara unaurudisha mwaka wa kwanza kazini. Madaktari wanahitajika kila nchi duniani.
 
Ukiwa na mawazo ya usome, ili upate kazi, ili upate mshahara huwezi kufikiria mambo ya patent.

Utaona hayo ni mambo ya wazungu tu.

Na humo ndimo watu wetu wengi wamo, hata wasomi.
Mambo ya patent ni bahati Yani pata potea sio given kwamba ukipursue lazima upate, so itakuwa ni ujinga wa hali ya juu kuinvest million 40 kwaajili ya kufukuzia bahati nasibu
 
Unaweza kuthibitisha kwamba waliodahiliwa mwaka 2023 nao wanalipa 3.6. Inawezekana wewe unazungumzia kiasi unachotoa baada ya mkopa wa bodi wakati tunazungumzia ada na sio ile unayoongezea.
Na kama KCMC ada 3.6 basi watakuwa na ufadhili wa nje as subsides
Kipindi nasoma kulitokeaga mgomo na main reason ilikuwa ada ni kubwa ilikuwa around 4.2M, kulingana na uongozi thabiti wa serikali ya wanafunzi chuoni ada ilikujaga kupunguzwa mwaka 2017 na kuwa 3.6M chin ya uongozi wa JPM na chuo kikafungiwa baadhi ya kozi kutokudahili na sababu zingine, mpaka namaliza ada ilikuwa hivyo hapo unakuwa umelipia kila kitu
 
Ukiwa na mawazo ya usome, ili upate kazi, ili upate mshahara huwezi kufikiria mambo ya patent.

Utaona hayo ni mambo ya wazungu tu.

Na humo ndimo watu wetu wengi wamo, hata wasomi.
Kiukweli hailipi kama mzazi wa Kimaskini atauza mifugo na mashamba yake ili amsomeshe mtoto wake huko, mwisho wa siku analipwa mshahara hiyo, it doesn't make sense.

Hao wanaojifanya ni wazalendo sana kwamba ni wito na bla bla na kwamba wanaridhika na wanacholipwa ni waongo kwa sababu tunaona wanavyo wapiga wagojwa kijanja janja na wengine wanahangaika na vijiwe na tena wanafanya mambo amboyo hata medical ethics inakataza.
 
Yep, kama una uwezo it is absolutely worth it. Huwezi kufa njaa kama Daktari. Huo mshahara unaurudisha mwaka wa kwanza kazini. Madaktari wanahitajika kila nchi duniani. Unatafuta kazi popote baada ya kupata uzoefu.
 
Is it worth it kwa muktadha gani? Kwa nani?

Swali la is it worth it halijakamilika, kwa sababu halina muktadha.

Tukiwa na genius anayekuja kugundua dawa ya kutibu saratani, ambaye kakosa nafasi kwingine kote, hiyo ada ni cheap sana, kwa sababu huyu genius ukimpa lift kidogo tu ya formal education, anakwenda kugundua dawa itakayokuja kuwa na thamani ya mabilioni ya dola za Kimarekani na kuokoa maisha ya watu wengi sana.

Hapo ada hiyo ni rahisi sana, kwa sababu tutajiunga watu wachache na kuweka scholarship huyo genius asome, tukijua kuwa miaka michache atazalisha faida kubwa sana kwa jamii. Faida ambayo ukiilinganisha na hiyo ada, hiyo ada ni peanuts tu.

Ukiwa na mtu mbumbumbu kwenye kusoma ambaye hawezi kuelewa kitu medical school, hata ada ikiwa bure, huyo it is not worth it kusoma chuo bure, kwa sababu atapoteza muda tu, inawezekana kipaji chake ni soka si medical school. Waliosoma uchumi hapo watajua kuwa hata ukisoma bure bado kuna "opportunity cost".

Sasa, kwa nini tunaishia gia ya kwanza kuuliza swali la "is it worth it" bila muktadha?

Is it worth it for whom? For the right candidate, hiyo ada is very cheap. For the wrong candidate, hata ada ikiwa bure, medical school is not worth it.

Vyuo vya serikali vingi vinakuwa subsidized na serikali na huduma ni mbovu sana. Juzi nilikuwa nasoma uzi unaelezea mtu alivyopata shida ya kunguni, wakaja watu wanatoa ushuhuda kunguni walivyojaa UDSM kwenye vyumba wanavyolala wanafunzi.

Ukitaka huduma standard, ni kazima ulipie hela standard. Watanzania wengi tumelemazwa na Ujamaa, ni hodari wa kudai huduma standard lakini hatutaki kulipia.
...Bahati mbaya huyo Genius wa Satarani hajatokes, na Bei Iko hivyo hivyo !!...[emoji57][emoji57]
 
Bongo changamoto.ni watu wachache ambao wamesoma vitu walivyopenda.

Mfano saiv form 4 mtu kabalance masomo ya science anapelekwa Art au mwingine kachaguliwa chuo na kozi ambayo aipendi.
Kama mzazi ana uwezo sa hivi ni kumpeleka mtoto nje ya nchi akasome anachokipenda, na Kuna baadhi ya nchi kama China gharama zao ni ndogo kwa baadhi ya kozi
 
Kipindi nasoma kulitokeaga mgomo na main reason ilikuwa ada ni kubwa ilikuwa around 4.2M, kulingana na uongozi thabiti wa serikali ya wanafunzi chuoni ada ilikujaga kupunguzwa mwaka 2017 na kuwa 3.6M chin ya uongozi wa JPM na chuo kikafungiwa baadhi ya kozi kutokudahili na sababu zingine, mpaka namaliza ada ilikuwa hivyo hapo unakuwa umelipia kila kitu
Sasa ile ni Taasisi ya kanisa ina vyanzo vingi na wadau wengi huko nje sio sawa na private, sasa mbona CUHAS ipo juu na hawajagoma na kwenye udahili wanakimbilia huko zaidi ya KCMC
 
Sasa ile ni Taasisi ya kanisa inavyanzo vingi na wadau wengi huko nje sio sawa na private, sasa mbona CUHAS ipo juu na hawajagoma na kwenye udahili wanakimbilia huko zaidi ya KCMC
Ada ya CUHAS kweli ni ndefu nilimpeleka dogo 2021 MD 1 ada ilikuwa 5200000 na points kama nakumbuka vizuri, sijajua wale walikwama wapi maana hata wa nyuma yao gharama zao inaonekana ni humo humo
 
Muuza chips anapata faida ya laki tisa kwa mwezi ukimaanisha anamzidi daktari, basi taja muuza chips aliyefungua chuo au hoteli nami nikutajie madaktari waliofungua hospitali.

Kairuki yenyewe yenye mjadala hapa ni zao la daktari unayedai anazidiwa na muuza chips, tena ana na hospitali ukiachana na chuo. Au wauza chips nao wana vyuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya patent ni bahati Yani pata potea sio given kwamba ukipursue lazima upate, so itakuwa ni ujinga wa hali ya juu kuinvest million 40 kwaajili ya kufukuzia bahati nasibu
Mtu mwenye uwezo atafanya patent hata 40, anaweza kukosa 39, akapata moja tu, na hiyo moja ikazibeba zote hizo 39.

Ukisoma historia ya Thomas Edison alivyogundua taa ya umeme hakugundua mara ya kwanza, alifanya majaribio mara nyingi sana kabla ya kufanikiwa.

Halafu hizo hela si lazima utoe wewe, wewe unakuja na the right idea tu, kuna watu wanakuwa na hela zao wanatafuta idea nzuri ya ku invest.

Ndivyo watu smart wanavyofanya dunia hii, hao matajiri wote kina Sergey wa Google kina Elon Musk ndivyo waliavyonza hivyo. Sisi hatujachangamkia fursa katika kutambua vipaji na kuvipa support, kwa njia ya investment. Watu wana hela kibao, halafu wote wanagezana kwenye biashara. Wakati tuna matatizo kibao yanahitaji ufumbuzi, tuna watu kibao wanaweza kuja na ufumbuzi hawana funding tu.

Ndiyo watu smart wanavyofanya ma billionaire wote ma venture capitalists wanaoanzisha startups za dunia huwa wanafanya hivyo.

Jamaa aliyeanzisha Uber alipewa dola milioni 100, akawa kama anazimaliza bila results, akamuendea venture capitalist aliyempa hela akifadhaika sana kwamba kapoteza hizo dola milioni 100. Akitegemea atakaripiwa. Yule venture capitalists akamwambia kuwa ni kawaida sana kwa wazo zuri la biashara kushindwa mara ya kwanza, ila kama bado anaamini ni wazo zuri, ajipange kimkakati upya tu, fedha zitakuwepo tu.

Baadaye akafanikiwa Uber ikashika chati dunia nzima.

Tatizo kwetu tuna umasikini mkubwa, umasikini si wa hela tu, bali hata wa fikra.

Na umasikini huu unakuja na a very low tolerance for initial failure. Yani tuna uoga mkubwa sana wa risk. Na hii ni moja ya sababu hatuendelei. Kwa sababu maendeleo yanataka kukubali risk, yanataka uweze kufanya patents 39 zifeli zote na uwe na uwezo wa kufanya ya 40 ambayo itakutoa.

Kwetu hatuna mentality hiyo, hatuna uthubutu huo, na si kwamba nawalaumu sana. Naelezea tu mambo yalivyo. Naelewa kwa nini mambo yako hivyo.

Ni vigumu sana kuwa na high tolerance ya initial failure katika jamii ambayo ina umasikini mkubwa na margin of error yake ni ndogo sana.

Yani huko kwetu ukikosea kidogo tu unabwengwa unatukanwa unatupwa.

Angalia hata watoto wanavyocheza ni hivyo hivyo. Mtoto akicheza kwenye matope akichafua nguo kidogo tu anatukanwa, anapigwa, anakatazwa.

Wenzetu mtoto akijichafua kwenye matope mzazi anamwambia "Oooh, Johnny, why are you so naughty?. Look, you are bringing mud into the house. Are you exploring your creative skills? What did you make today, a castle?". Mzazi anaweka nguo kwenye washing mashine maisha yanaendelea.

Sisi mtoto atachapwa hapo mpaka akome, na hatujui pengine mtoto alikuwa anajifunza na kujenga interest ya kuwa architect udongoni, na tunapomchapa ndiyo tunamuondolea interest yake hiyo.

Na hata huko kwenye patents ni hivyo hivyo, one mistake, you are out.

Sasa uvumbuzi hautaki hiyo approach.

Ndiyo maana kila siku tunalalamika, kwa nini Waafrika hawavumbui kitu?
 
Sa hv ma specialist ni wengi, sio kama zamani na vijiwe vya Private ni vingi, kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
Ni vingi ila wataalam ni wengi zaidi ya vijiwe hivyo kwa hiyo kwa wenye Speciality ndio wanafaidi ila wa degree moja bila connection ni shida na tena malipo sio ya uhakika.

Expectation Vs Reality kama ile video ya wanachuo walivyo onesha kuhusu program mbalimbali.
 
Back
Top Bottom