Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

Heshima kwako umetisha hili ni bonge la pointi ,umemaliza kila kitu
 
Madini haya ila ndo tupo hivyo aisee
 
Akili za ki-peasant sana.
We boya hutamani kuwa na maisha mazuri!? kwann unaamka asubuhi na mapema na kuanza kuisaka chapaaa? Chapaaa ndio Kila kitu, Haba bible imesema Chapaaa huleta majibu ya mambo yote bhana.
 
We boya hutamani kuwa na maisha mazuri!? kwann unaamka asubuhi na mapema na kuanza kuisaka chapaaa? Chapaaa ndio Kila kitu, Haba bible imesema Chapaaa huleta majibu ya mambo yote bhana.
Mkuu,

Tufanye thought experiment moja.

Vipi ikiwa madaktari (na manesi for that matter) wote duniani wakiona udaktari hautengenezi chapaa sana, wakaenda kuwa wafanyabiashara, dunia ikakosa madaktari, watu wenye chapaa na wasio na chapaa wakawa wanakufa kwa mafungu mafungu kwa sababu hakuna daktari wa kuwasaidia.

Hayo maisha yatakuwa mazuri kwa sababu watu watakuwa na chapaa zaidi huku wakifa kwa mafungu na life expectancy ikidondoka sana kwa sababu hakuna madaktari wala nesi kuwahudumia?
 
Haya braza, Mimi siwezagi kubishana na wajuaji, nimemaliza chuo 2020, ni kweli ada Sasa hv zimepanda ila siyo mil 6 na kuendelea kama unavyosema,
Nimeona 5.8 M ni nyingi sio kidogo sasa swali langu wewe umesema ulikuwa unalipa 3.6 mbona ongezeko limekuwa kubwa sana kwa kipindi kifupi. Uljichanganya nadhani bora ungesena hata 4.6 M .CUHAS nadhani itakuwa 6+ M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…