Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Disrespect ... Detected. 😁With due respect...Una upeo mdogo sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Disrespect ... Detected. 😁With due respect...Una upeo mdogo sana!
Mkuu,
Yeye alichouliza je hiyo ada ina worth na elimu inayotolewa pale?
Inawezekana ikawa ni gharama nafuu ukilinganisha na mataifa mengine hilo hata mimi sipingi na ni shahidi kabisa..
Lakini je tabibu wa hapo ana kitu gani cha ziada ukilinganisha na tabibu wa MUHAS, CUHAS, MUCHAS au vyuo vingine vya Afya?
Muuza chips tu kwa siku akikosa anakunja elfu 30, faida, kwa mwezi laki ,9
Umeandika mengi ila hujatoa sababu zinazo fanya Bugando kua nzuri uliko kampala university au muhimbili you are just rhtorical bila kuleta vigezo au yardstick kulinganisha hivyo vyuo.MUHAS, Bugando na KCMC ndio the best kwenye course za Afya kwa TZ, hata hao madaktari na wafamasia na nurse most of them competency zao wanapatia MUHAS Bugando na KCMC na wanakuwa trained hapo.
Hata kairuki hakina shida na ada zake ni kutokana ni pure private entity.
However Kuna wanafunzi ambao kwa pass Mark zao hawawezi kuingia MUHAS , but kairuki wanaingia
Mfumo wa Vyuo mzima wa elimu ya Afya TZ umeshakuwa compromised as compared na zaman, hata qualification entry zimekuwa compromised.
Siku hizi ni rarely kukutana na a competent Nurse au MD au pharmacist. Wasomi wanaoenda kufanya consultation wanaelewa hili vizuri sana. Unajiuliza huyu alimaliza kweli shule? Hiyo inakuwa ni individual intelligence na sio chuo, may be mitaala pia
Siku hizi Bugando ndio kimekuwa chuo kinachotoa nurses , doctors na famacist competent kwenye soko. Hata hao wataalam kutoka MUHAS now days ni changamoto vimeo hasa.
On other hand kama unasoma hizo course ili utoboe life ; think again but kama unasoma as as a saving means and makes you feel better to help others , please proceed, na kupitia hiyo passion yako ndio utafanikiwa humo humo
Otherwise kamsikilize Prof Muhongo.
Also. hizo ada kwenye medical field ni kawqida. Haulipi zote kwa pamoja; mfano mil 6 unaweza kuigawa mara 3
Jibu zuri. Je elimu inayotolewa kairuki ina worth kulipiwa hiyo ada ?
Value for money ipo kairuki ?
Kama hela ipo mtoto asome tu lakini kama hela akuna basi aendeshe boda boda tuKwahiyo inakuwa around 45 millions.
Ni mjinga pekee atatoa hiyo pesa ili mwanae aajiriwe kwa shida na kulipwa milioni 1.
Ikumbukwe pia mtaani kuna madaktari waliokosa ajira , wamekwenda private wanalipwa laki 6 , laki 7 au pungufu. Na kupata huko private mpaka uunganishwe.
Mgambo miezi , 3 bure Mwembeyanga ukipata ajira Bandari kama mlinzi mshahara wako unamzidi Daktari.
Vijana machaguo ni yenu
AhahahahKama hela ipo mtoto asome tu lakini kama hela akuna basi aendeshe boda boda tu
Hamtaki au hatutaki? au ushajivisha uzungu mwenzetu?Kwa hiyo hamtaki kuwa na madaktari wa kutosha?
Hamtaki kugundua mambo katika utabibu?
Mnaishia kufikiria mshahara tu?
Kwani lazima mtu mwenye ujuzi wake afanye kazi Tanzania?
Kwa taarifa yenu hiyo ada ukiiweka katika viwango vya kimataifa ni ndogo sana, tatizo uchumi wenu mdogo tu.
Kwenda medical school kwa ada ya milioni 6.4 kwa mwaka itakuwa ni kati ya ada rahisi kabisa duniani. Kuna watu wanalipa zaidi ya ada hiyo kusomesha watoto shule ya msingi tu. Hapo hapo Tanzania.
Kuna nchi hiyo ni ada ni robo ya ada ya mwaka mmoja tu.
Hahah eti muuza chips aliyefungua hoteli?Muuza chips anapata faida ya laki tisa kwa mwezi ukimaanisha anamzidi daktari, basi taja muuza chips aliyefungua chuo au hoteli nami nikutajie madaktari waliofungua hospitali.
Kairuki yenyewe yenye mjadala hapa ni zao la daktari unayedai anazidiwa na muuza chips, tena ana na hospitali ukiachana na chuo. Au wauza chips nao wana vyuo
😂😂😂Hongera sana kijana... kiukweli una wito mkubwa kwenye tasnia ya UJINGA. Hakika wewe ni mfano wa kuigwa miongoni mwa WAJINGA wote jinsi unavyoipigania "Tasnia ya UJINGA"
Hope you know that tall indian girlWewe ndo muongo, nimesoma KCMUCo, ambayo mnaita KCMC ada ilikuwa 3.6M nimemaliza 2020, na ni private, msiwe mnadanganya watu
Hamtaki nyie wenye fikra hizo, mimi sipo kwenye fikra hizo, wala si suala la uzungu.Hamtaki au hatutaki? au ushajivisha uzungu mwenzetu?
Nje ya wapi? Nafuu ni kiasi gani?Kwa Nini usiende nje tu ukasomea kwa ghalama nafuu sana
Kamsomeshe india ni laki nne tuKwahiyo inakuwa around 45 millions.
Ni mjinga pekee atatoa hiyo pesa ili mwanae aajiriwe kwa shida na kulipwa milioni 1.
Ikumbukwe pia mtaani kuna madaktari waliokosa ajira , wamekwenda private wanalipwa laki 6 , laki 7 au pungufu. Na kupata huko private mpaka uunganishwe.
Mgambo miezi , 3 bure Mwembeyanga ukipata ajira Bandari kama mlinzi mshahara wako unamzidi Daktari.
Vijana machaguo ni yenu