Jumla ya wajumbe wanaoenda kupiga kura ni 996, zoezi la kupiga kura linaanza muda wowote kuanzia sasa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili

Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki

118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81
Pemba 65
Serengeti 92
Unguja 74
Kusini 92
Nyasa 112
Magharibi 94
Mabaraza 91
Kamayi Kuu 17

Jumla ya Wajumbe: 996

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
 
Kura z

Lisu kaachwa kwa mbali kura zinaendelea kuhesabiwa
 
Kumbe watu wenyewe ni 996 tu, hizo kura ni dk kadhaa tu zishaisha kuhesabika.
 
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili

Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki

118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81
Pemba 65
Serengeti 92
Unguja 74
Kusini 92
Nyasa 112
Magharibi 94
Mabaraza 91
Kamayi Kuu 17

Jumla ya Wajumbe: 996

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Ni rahisi sana kuziona kura za Tundu Lissu hapo

Zikipungua sana basi ni 580
 
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili

Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki

118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81
Pemba 65
Serengeti 92
Unguja 74
Kusini 92
Nyasa 112
Magharibi 94
Mabaraza 91
Kamayi Kuu 17

Jumla ya Wajumbe: 996

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Good up to date
 
CHADEMA chama kidogo sana!
Watu Wanasafiri Hadi ukumbini hawajulikana!
Taarifa zinazalishwa wajumbe tayari wako ukumbini.
Kumbe mikoani na wilayani CHADEMA Haina viongozi!
Mtasubiri sana kuongoza Nchi.
 
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili

Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki

118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81
Pemba 65
Serengeti 92
Unguja 74
Kusini 92
Nyasa 112
Magharibi 94
Mabaraza 91
Kamayi Kuu 17

Jumla ya Wajumbe: 996

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Uchawi huu wa kuisaidia CCM aingize masandaku ya Kura. Fvck CCM
 
Lisu oyeeeeee...Chadema yapata Mwenyekiti mpyaaa... hongera sana Mh. TL Kwa Kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema.. Watanzania Wana Imani na wewe . Chaguo la wengi ni chaguo la Mwenyezi Mungu
Weeeeeee sema kweliiiii
 
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili

Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki

118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81
Pemba 65
Serengeti 92
Unguja 74
Kusini 92
Nyasa 112
Magharibi 94
Mabaraza 91
Kamayi Kuu 17

Jumla ya Wajumbe: 996

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Freeman Aikaeli Mbowe anakwenda kupata kura nyingi zaidi ya kishindo dhidi ya mgombea yoyote katika uchaguzi huu my friends ladies and gentlemen 🐒 🐒
 
😂 Kumbe kura bado, wajumbe wanaishi mbali jaman

Anyway, tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'anizi

Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili

Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki

118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81
Pemba 65
Serengeti 92
Unguja 74
Kusini 92
Nyasa 112
Magharibi 94
Mabaraza 91
Kamayi Kuu 17

Jumla ya Wajumbe: 996

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Wanavuta muda kuficha aibu matokeo yakitoka Mwenyekiti akalilie nyumbani usiku
 
Lisu oyeeeeee...Chadema yapata Mwenyekiti mpyaaa... hongera sana Mh. TL Kwa Kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema.. Watanzania Wana Imani na wewe . Chaguo la wengi ni chaguo la Mwenyezi Mungu
Ndugu mbumbumbu nani kakueleza kuwa pale kinachofanyika ni uteuzi wa Mwenyekiti wa chama?

Pale unafanyika uchaguzi. Hayo matokeo ya uteuzi umeyapata wapi?
 
Ila haya ya kuchelewa wamejitakia wenyewe,wanajua wana mambo mengi badala ya kuanza kikao saa tatu asubuhi walikuwa wanambwelambwela tu
 
Back
Top Bottom