Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo utahama nchi, maana muda si mrefu LISSU anatangazwa kuwa mshindi.Kura z
Lisu kaachwa kwa mbali kura zinaendelea kuhesabiwa
Ukitoa za pemba 74 na unguja 65Ni rahisi sana kuziona kura za Tundu Lissu hapo
Zikipungua sana basi ni 580
Ki vip?Kati ya hizo kura 700 ni za Mbowe
Kuna tetesi kuwa Mbowe amewashikisha mshiko wa maana wajumbe 700Ki vip?
Acha kuamini tetesiKuna tetesi kuwa Mbowe amewashikisha mshiko wa maana wajumbe 700
Haya. Yetu macho na masikio toka huko Mlimani CityAcha kuamini tetesi
Wewe naye ni Bumunda hujui hata tofauti ya kuteuliwa na kuchaguliwa!Lisu oyeeeeee...Chadema yapata Mwenyekiti mpyaaa... hongera sana Mh. TL Kwa Kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema.. Watanzania Wana Imani na wewe . Chaguo la wengi ni chaguo la Mwenyezi Mungu
Kapimwe marindaCHADEMA chama kidogo sana!
Watu Wanasafiri Hadi ukumbini hawajulikana!
Taarifa zinazalishwa wajumbe tayari wako ukumbini.
Kumbe mikoani na wilayani CHADEMA Haina viongozi!
Mtasubiri sana kuongoza Nchi.