Jumla ya wajumbe wanaoenda kupiga kura ni 996, zoezi la kupiga kura linaanza muda wowote kuanzia sasa

Jumla ya wajumbe wanaoenda kupiga kura ni 996, zoezi la kupiga kura linaanza muda wowote kuanzia sasa

Wajumbe pigeni kura kwa mujibu wa matakwa ya wale mnaowawakilisha na si vinginevyo
 
Saa 7:50 usiku itakuwa

Mbowe kura 531
Lissu kura 465
 
Hivi, inakuwaje Pemba na Unguja zina wajumbe wengi kuliko kanda yoyote???

Mpaka hapo mshindi ni FAM katumia mifumo ya Bashiru.

Tumia dola kulinda Dola.
20250122_033601.jpg
 
Lisu oyeeeeee...Chadema yapata Mwenyekiti mpyaaa... hongera sana Mh. TL Kwa Kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema.. Watanzania Wana Imani na wewe . Chaguo la wengi ni chaguo la Mwenyezi Mungu
Wewe naye ni Bumunda hujui hata tofauti ya kuteuliwa na kuchaguliwa!
 
Back
Top Bottom