Jumuiya kama za Kikatoliki zinapaswa kuigwa na jamii zote na taifa kiujumla

Soma Biblia wewe dini zote huamini kuwa alipozaiwa mwanzilishi, kuhubiri na kufa ndio chanzo cha dini husika katoliki ndio matapeli pekee wasioamini hilo kuwa dini ya Kikristo haikuanzia Israel ilianzia Roma Italia

Waprotestanti wote tunaamini Ukristo ulianzia uyahudi kwa mwanzilishi Kristo mwanzillishi wa Ukristo yeye mwenyewe akiwa Kristo
Kwa hiyo nisome tu kuanzia MWANZO 1 hadi UFUNUO bila kutupatia vifungu elekezi?🤔
 
Changamoto yako:Unaandika mambo mengi kwa emotions bila ushahidi.Wewe ni kulalama tu.
Mwanzilishi wa kanisa la Kikristo ni Kristo mwenyewe kazaliwa uyahudi na kuhubiri uyahudi na kufa uyahudi na kufufuka uyahudi halafu unakutana na tapeli barabarani katoliki anakwambia Mwanzilishi wa Ukristo ni Petro yule aliyemkana Yesu kichwa chako kiko sawa?
 
Mkuu Shotocan,

Wakatoliki tunamfuata Kristu; sisi ni Wakristu, sio Wapetro.

Sisi ni wafuasi wa Kristu. Kristu alimkabidhi uongozi Mtume Petro (Papa wetu wa kwanza). Hapa chini ni maneno ya Kristu mwenyewe:

Mathayo 16:18
Nami ninakuambia: Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Ukitueleza Kanisa lako la Ulokole tutakueleza mwanzilishi wa kanisa lako ambaye huenda aliasi Ukatoliki.

Ni Ukatoliki pekee una mizizi ya moja kwa moja kutoka kwa Kristu, kwenda kwa Petro (Papa wa kwanza)... Mpaka sasa kwa Fransisko (Papa wa 266).
 
Soma Biblia wewe hayo ya sala ya nyumba kwa nyumba za jumuiya yalianza kipindi cha mitume uwe unasoma Biblia sio tu kushindia misale ya waaumini na kusikiliza padre tu au unacholishwa matango pori seminary

Tatizo wakatoliki hamsomi Biblia ndio masna huwa mnaamini kanisa la Kikristo lilianzia Roma Italia mnasahau kuwa Kristo mwanzillishi wa Ukristo alizaliwa Israel sio Roma Italia mnalishwa ujinga

Ukiristo ulianzishwa uyahudi na Kristo mwenyewe anayeitwa Kristo sio Petro au yeyote

Ukristo ulianza uyahudi na Kristo ndio maana tunaitwa wakristo wafuasi qa Kristo myahudi wa uyahudi sio wa Petro wafuasi wa Petro papa wa kwanza wa wa Roman Catholic wabaojitia kanisa la kwanza lilianzia Roma kwa Petro

Sisi hatuhiji Roma na hatuna mpango tunatambua kanisa la kwanza lilianzishwa Uyahudi na Kristo mwenyewe alipozaiwa,kuhubiri kuteswa ,kufa na kufufuka

Hilo kanisa lenu mnaita la kwanza aliloanzisha Petro bakini nalo wenyewe na utapeli wenu

Kanisa la kwanza mwanzilshi Kristo hakuna cha Petro ,wakoritntho wala nani

Ni Yesu Kristo tu
Biblia naisoma vizur nachokuambia jumuiya kwa hapa bongo walianza wakatoliki. Pamoja na ukristo kuanza kama jumuiya baadae walikuja kusambaratika ndio maana kukatokea madhehebu. So kila dhehebu lilikuja na namna yake ya kuabudu.
 
Mwanzilishi wa kanisa la Kikristo ni Kristo mwenyewe kazaliwa uyahudi na kuhubiri uyahudi na kufa uyahudi na kufufuka uyahudi halafu unakutana na tapeli barabarani katoliki anakwambia Mwanzilishi wa Ukristo ni Petro yule aliyemkana Yesu kichwa chako kiko sawa?
Nani kakuambia Petro ndie mwanzilishi wa ukristo?
 
Soma Biblia wewe dini zote huamini kuwa alipozaiwa mwanzilishi, kuhubiri na kufa ndio chanzo cha dini husika katoliki ndio matapeli pekee wasioamini hilo kuwa dini ya Kikristo haikuanzia Israel ilianzia Roma Italia

Waprotestanti wote tunaamini Ukristo ulianzia uyahudi kwa mwanzilishi Kristo mwanzillishi wa Ukristo yeye mwenyewe akiwa Kristo
Protestant Maana yake ni nini?
 
View attachment 3129561
Huu utaratibu wa waumini wa kanisa katoliki kukutana kila Jumamosi kwa ajili ya taratibu zao za Jumuiya nadhani linapaswa kuigwa na liwe jambo la kila Mtanzania.Jumuiya hizi hujengwa na familia kadhaa zisizopungua tano hadi kumi na tano zilizo jirani.Familia hizi hushirikiana katika mambo yote ikiwa ni pamoja na kusali pamoja,kusoma na kushirikishana katika kutafakari Neno la Mungu, kufarijiana,kulea watoto,kusaidia wenye shida,kupanga maendeleo yao,nk.

Mbali na faida za kiimani wanazopata waumini hao kwa kusali pale wanapokutana, Hilo nisingependa kulizungumzia sana, Lakini pia kuna manufaa mengine ya kijamii.

1- Ni chachu ya ushirikiano na umoja kwa wanajamii.

2- Ni sehemu ya kufarijiana na kusaidiana katika changamoto mbalimbali kama za kiafya nk.

3- Husaidia kulea vijana na watoto katika miito na maadili sahihi ili kuwa watumishi bora kwa jamii na taifa.

4- Sehemu rahisi ambayo kila mwanajamii anaweza kutoa maoni, ushauri na mapendekezo yanayohusu masuala mbalimbali.

5- Hutumika kutatua migogoro mbalimbali kama ya wanandoa kwa utaratibu sahihi.

6- Inakuza imani na maadili kwa familia (kaya); hasa baba, mama, watoto na ndugu wanaoishi pamoja wakishiriki kikamilifu.

7- Jumuiya hutoa misaada mbalimbali kwa jamii inayoizunguka.

8- Pia, jumuiya hutumika kujengana kiroho kwa kurekebishana pale mmoja anapoyumba kimaadili.

Kwa hayo machache, nadhani kukutana mara kwa mara, hususan kwa majirani au wanajamii kwa ujumla, Kuzungumza mambo kadhaa, mfano changamoto kadhaa zilizopo katika jamii, kutambulisha wageni, kujuliana hali, kusaidiana katika changamoto na shida mbalimbali kama maradhi, magonjwa nk. ni jambo jema, Ikishindikana kukutana mara moja kwa wiki, basi angalau kila mwezi au kila baada ya muda fulani kwa utaratibu maalum ambao jamii itajiwekea.
Michango too much, sasa imegeuka kero, kila sehemu Mtanzania anabinywa halafu kipato duni.
 
Waanzillishi hiyo kitu wala sio wakatoliki ni walokole walianza miaka mingi sana kitu kinaitwa ibada za nyumba kwa nyumba miaka mingi kabla hata katoliki hawajagundua hilo

Na ilianza kipindi cha mitume walikuwa wakisali nyumba kwa nyumba na kumega mkate na baadaye ikaendelea kwenye maeneo ambayo kanisa lilikuwa halikubaliki kama nchi za kikomunisti nk ambako ukristo ulikuwa haukubaliki na unapigwa vita

Baadaye kanisa katoliki likaona linapoteza waumini wakaiga na kuanzisha ulokole wa karismatiki ili na katoliki wajisikie nao walokole wakati huku wakiendelea kusali na kuomba bikira Maria nk na hizo jumuiya zilianzishwa kudhibiti waumini wao katoliki wasihame katoliki kwa vitisho vya ohhh kama huhudhurii jumuiya huzikwi au kupewa sacramenti ya ndoa nk na pia kuwa sehemu ya majungu ya nani kaenda kwa Mwamposa nk na pia jumuiya inatumika kama sehemu ya kukusanya pesa za sadaka nje ya zile za kanisani tofauti na ibada za nyumba kwa nyumba za walokole ambao hadi kesho hukutana tu kwa lengo la kusali tu,na kutiana moyo
Masalia utawajua tu.

Alimradi uonekane upo against na kitu haya hilo gazeti hapo umeandika nikuulize mpaka sasa mnasali hizo jumuiya?
 
Waanzillishi hiyo kitu wala sio wakatoliki ni walokole walianza miaka mingi sana kitu kinaitwa ibada za nyumba kwa nyumba miaka mingi kabla hata katoliki hawajagundua hilo

Na ilianza kipindi cha mitume walikuwa wakisali nyumba kwa nyumba na kumega mkate na baadaye ikaendelea kwenye maeneo ambayo kanisa lilikuwa halikubaliki kama nchi za kikomunisti nk ambako ukristo ulikuwa haukubaliki na unapigwa vita

Baadaye kanisa katoliki likaona linapoteza waumini wakaiga na kuanzisha ulokole wa karismatiki ili na katoliki wajisikie nao walokole wakati huku wakiendelea kusali na kuomba bikira Maria nk na hizo jumuiya zilianzishwa kudhibiti waumini wao katoliki wasihame katoliki kwa vitisho vya ohhh kama huhudhurii jumuiya huzikwi au kupewa sacramenti ya ndoa nk na pia kuwa sehemu ya majungu ya nani kaenda kwa Mwamposa nk na pia jumuiya inatumika kama sehemu ya kukusanya pesa za sadaka nje ya zile za kanisani tofauti na ibada za nyumba kwa nyumba za walokole ambao hadi kesho hukutana tu kwa lengo la kusali tu,na kutiana moyo
Uzi ulipaswa uishie kwenye comment hii!
 
Miaka mingi lin mkuu. Waanzilishi ni catholic bana mpeni mtu maua yake anaPostahili. Wewe jumuiya umeziona mjin sisi tumezaliwa tunazikuta vijijin ndio zilizotukuza.
Aah aah hayo maua mwache achukue yeye ila muulize wao wanasali hizo jumuiya?
 
Ni njia ya kutongozana na kugongana, ziko kesi kadhaa nazifahamu chanzo ni kukutana kila jmos jumuiya, mwenyekiti anawala waumini, mhasibu anajipigia na wanaanzisha mpaka watsaap group wanaishia kupigana
Ndiyo mkuu em tuambie wewe umeliwa mara ngapi na mwenyekiti na muhasibu nae amejipigia mara ngapi achilia mbali huko w'app group mlikopigana?
 
sisi jumuiya yetu tuna mchango wa emergency kila mwez...tuna viti...masufuria..
yaani ukipata msiba / sherehe tupo kamili
Mwanangu alipata accident ya kuungua na moto jumuiya wamenichangia zaidi ya Tsh 400,000/= lakini ukikutana na watu dizain ya kaa chini na Shotocan utaona namna tupo na wagonjwa wengi wa akili ya imani Tanzania.
 
View attachment 3129561
Huu utaratibu wa waumini wa kanisa katoliki kukutana kila Jumamosi kwa ajili ya taratibu zao za Jumuiya nadhani linapaswa kuigwa na liwe jambo la kila Mtanzania.Jumuiya hizi hujengwa na familia kadhaa zisizopungua tano hadi kumi na tano zilizo jirani.Familia hizi hushirikiana katika mambo yote ikiwa ni pamoja na kusali pamoja,kusoma na kushirikishana katika kutafakari Neno la Mungu, kufarijiana,kulea watoto,kusaidia wenye shida,kupanga maendeleo yao,nk.

Mbali na faida za kiimani wanazopata waumini hao kwa kusali pale wanapokutana, Hilo nisingependa kulizungumzia sana, Lakini pia kuna manufaa mengine ya kijamii.

1- Ni chachu ya ushirikiano na umoja kwa wanajamii.

2- Ni sehemu ya kufarijiana na kusaidiana katika changamoto mbalimbali kama za kiafya nk.

3- Husaidia kulea vijana na watoto katika miito na maadili sahihi ili kuwa watumishi bora kwa jamii na taifa.

4- Sehemu rahisi ambayo kila mwanajamii anaweza kutoa maoni, ushauri na mapendekezo yanayohusu masuala mbalimbali.

5- Hutumika kutatua migogoro mbalimbali kama ya wanandoa kwa utaratibu sahihi.

6- Inakuza imani na maadili kwa familia (kaya); hasa baba, mama, watoto na ndugu wanaoishi pamoja wakishiriki kikamilifu.

7- Jumuiya hutoa misaada mbalimbali kwa jamii inayoizunguka.

8- Pia, jumuiya hutumika kujengana kiroho kwa kurekebishana pale mmoja anapoyumba kimaadili.

Kwa hayo machache, nadhani kukutana mara kwa mara, hususan kwa majirani au wanajamii kwa ujumla, Kuzungumza mambo kadhaa, mfano changamoto kadhaa zilizopo katika jamii, kutambulisha wageni, kujuliana hali, kusaidiana katika changamoto na shida mbalimbali kama maradhi, magonjwa nk. ni jambo jema, Ikishindikana kukutana mara moja kwa wiki, basi angalau kila mwezi au kila baada ya muda fulani kwa utaratibu maalum ambao jamii itajiwekea.
Ni Nzuri hapa Dodoma,zipo jumuia nyingi za hayo makanisa,katoliki,KKKT,Waadventista Wasabato Hawa wanafanya Jumapili,kwani Jumamosi wanasali kanisani (Sabato).
 
Michango too much, sasa imegeuka kero, kila sehemu Mtanzania anabinywa halafu kipato duni.
Umeshikiwa bunduki kuilipa?

Mbona jumuiya yangu wapo wasiochanga na hawajawahi kushikwa tai walipe hiyo michango,hii sababu ilishakosaga mashiko nadhani ingeachwa.
 
Kuna wengine wanazitumia ka njia ya kufahamu ka nyumba ina totoz nakishi nakishi kupata utelezi kwa shemeji yao ama totoz waliopo

....... Alisikika mpagani akimnong'oneza mwenzie ....
Penye Mungu shetani nae huvizia!
 
Mitume Wa Yesu aliokuwa nao Israel Yesu Kristo alikoanzisha Ukristo yeye akiwa Kristo mwenyewe

Dini zote hutambua mwanzilishi wa dini husika alipozaiwa, kuhubiri na kufa ndipo dini ilanzia wawe waislamu nk

Wakristo wa kweli pia tunaamini hivyo kasoro wakatoliki ndio wapiga chenga

Mwanzillishi wa Ukristo Yesu Kristo kazaliwa uyahudi, kahubiri uyahudi, kateswa uyahudi kafa uyahudi kafufuka uyahudi halafu matapeli katoliki wanasema ooh kanisa la kwanza alianzisha Petro roma Italia mmmmmmm

Danganyaneni wenyewe huko kanisani kwenu sio kwa watu wasoma Biblia na kuielewa

Kanisa la kwanza Petro hajawahi lianzisha Yesu myahudi ndie alianzisha uyahudi
Wasome matendo ya mitume yote, wataelewa!
 
Mwanangu alipata accident ya kuungua na moto jumuiya wamenichangia zaidi ya Tsh 400,000/= lakini ukikutana na watu dizain ya kaa chini na Shotocan utaona namna tupo na wagonjwa wengi wa akili ya imani Tanzania.
Jumuiya mkikutana muwe mnafanya maombi ya umaskini uondoke Mungu kila mwanajumuiya ampe pesa hata akipata shida asiwe tegemezi kwa wanajumuiya

Sasa kama ingekuwa wanajumuiya wote watoto wenu wamepata ajali wa utoto mtakatifu wanaenda sherehe yao na wakajeruhiwa wote nani angemchangia nani?
 
Umeshikiwa bunduki kuilipa?

Mbona jumuiya yangu wapo wasiochanga na hawajawahi kushikwa tai walipe hiyo michango,hii sababu ilishakosaga mashiko nadhani ingeachwa.
Shida inakuja wakitaka huduma kwa padre ripoti za sadaka na mahudhurio hapo ndio mziki unaanza sio siri haya mambo sasa hivi ulimwengu wa utandawazi
 
Back
Top Bottom