Jumuiya kama za Kikatoliki zinapaswa kuigwa na jamii zote na taifa kiujumla

Kwa hiyo nisome tu kuanzia MWANZO 1 hadi UFUNUO bila kutupatia vifungu elekezi?🤔
 
Changamoto yako:Unaandika mambo mengi kwa emotions bila ushahidi.Wewe ni kulalama tu.
Mwanzilishi wa kanisa la Kikristo ni Kristo mwenyewe kazaliwa uyahudi na kuhubiri uyahudi na kufa uyahudi na kufufuka uyahudi halafu unakutana na tapeli barabarani katoliki anakwambia Mwanzilishi wa Ukristo ni Petro yule aliyemkana Yesu kichwa chako kiko sawa?
 
Mkuu Shotocan,

Wakatoliki tunamfuata Kristu; sisi ni Wakristu, sio Wapetro.

Sisi ni wafuasi wa Kristu. Kristu alimkabidhi uongozi Mtume Petro (Papa wetu wa kwanza). Hapa chini ni maneno ya Kristu mwenyewe:

Mathayo 16:18
Nami ninakuambia: Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda.


Ukitueleza Kanisa lako la Ulokole tutakueleza mwanzilishi wa kanisa lako ambaye huenda aliasi Ukatoliki.

Ni Ukatoliki pekee una mizizi ya moja kwa moja kutoka kwa Kristu, kwenda kwa Petro (Papa wa kwanza)... Mpaka sasa kwa Fransisko (Papa wa 266).
 
Biblia naisoma vizur nachokuambia jumuiya kwa hapa bongo walianza wakatoliki. Pamoja na ukristo kuanza kama jumuiya baadae walikuja kusambaratika ndio maana kukatokea madhehebu. So kila dhehebu lilikuja na namna yake ya kuabudu.
 
Nani kakuambia Petro ndie mwanzilishi wa ukristo?
 
Protestant Maana yake ni nini?
 
Michango too much, sasa imegeuka kero, kila sehemu Mtanzania anabinywa halafu kipato duni.
 
Masalia utawajua tu.

Alimradi uonekane upo against na kitu haya hilo gazeti hapo umeandika nikuulize mpaka sasa mnasali hizo jumuiya?
 
Uzi ulipaswa uishie kwenye comment hii!
 
Miaka mingi lin mkuu. Waanzilishi ni catholic bana mpeni mtu maua yake anaPostahili. Wewe jumuiya umeziona mjin sisi tumezaliwa tunazikuta vijijin ndio zilizotukuza.
Aah aah hayo maua mwache achukue yeye ila muulize wao wanasali hizo jumuiya?
 
Ni njia ya kutongozana na kugongana, ziko kesi kadhaa nazifahamu chanzo ni kukutana kila jmos jumuiya, mwenyekiti anawala waumini, mhasibu anajipigia na wanaanzisha mpaka watsaap group wanaishia kupigana
Ndiyo mkuu em tuambie wewe umeliwa mara ngapi na mwenyekiti na muhasibu nae amejipigia mara ngapi achilia mbali huko w'app group mlikopigana?
 
sisi jumuiya yetu tuna mchango wa emergency kila mwez...tuna viti...masufuria..
yaani ukipata msiba / sherehe tupo kamili
Mwanangu alipata accident ya kuungua na moto jumuiya wamenichangia zaidi ya Tsh 400,000/= lakini ukikutana na watu dizain ya kaa chini na Shotocan utaona namna tupo na wagonjwa wengi wa akili ya imani Tanzania.
 
Ni Nzuri hapa Dodoma,zipo jumuia nyingi za hayo makanisa,katoliki,KKKT,Waadventista Wasabato Hawa wanafanya Jumapili,kwani Jumamosi wanasali kanisani (Sabato).
 
Michango too much, sasa imegeuka kero, kila sehemu Mtanzania anabinywa halafu kipato duni.
Umeshikiwa bunduki kuilipa?

Mbona jumuiya yangu wapo wasiochanga na hawajawahi kushikwa tai walipe hiyo michango,hii sababu ilishakosaga mashiko nadhani ingeachwa.
 
Kuna wengine wanazitumia ka njia ya kufahamu ka nyumba ina totoz nakishi nakishi kupata utelezi kwa shemeji yao ama totoz waliopo

....... Alisikika mpagani akimnong'oneza mwenzie ....
Penye Mungu shetani nae huvizia!
 
Wasome matendo ya mitume yote, wataelewa!
 
Mwanangu alipata accident ya kuungua na moto jumuiya wamenichangia zaidi ya Tsh 400,000/= lakini ukikutana na watu dizain ya kaa chini na Shotocan utaona namna tupo na wagonjwa wengi wa akili ya imani Tanzania.
Jumuiya mkikutana muwe mnafanya maombi ya umaskini uondoke Mungu kila mwanajumuiya ampe pesa hata akipata shida asiwe tegemezi kwa wanajumuiya

Sasa kama ingekuwa wanajumuiya wote watoto wenu wamepata ajali wa utoto mtakatifu wanaenda sherehe yao na wakajeruhiwa wote nani angemchangia nani?
 
Umeshikiwa bunduki kuilipa?

Mbona jumuiya yangu wapo wasiochanga na hawajawahi kushikwa tai walipe hiyo michango,hii sababu ilishakosaga mashiko nadhani ingeachwa.
Shida inakuja wakitaka huduma kwa padre ripoti za sadaka na mahudhurio hapo ndio mziki unaanza sio siri haya mambo sasa hivi ulimwengu wa utandawazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…