Jumuiya kama za Kikatoliki zinapaswa kuigwa na jamii zote na taifa kiujumla

😂😂Inaonekana una makasiriko sana na Wakatoliki ...Kanisa/dhehebu lolote halikupeleki mbinguni kitakachokupeleka mbinguni ni uhusiano wako binafsi na Mungu.
Kanisa ni mfano wa kamba unapopanda mlima mrefu ile tu kupewa kamba upande haikusaidii kitakachokufikisha juu kileleni ni nguvu zako na stamina .

Nijuavyo apa bongo Wakatoliki ndio walianzisha mambo ya Jumuiya ...mwanzoni madhehebu mengine walikua wanawakejeli ila sasa cha ajabu karibu madhehebu yote wameiga mfano Anglican,KKKT,TAG n.k
 
Soma Biblia kitabu cha Matendo ya mitume walianza kukutana jumuiya miaka hiyo majumbani kabla kanisa katoliki hata halijakuwepo wala mtu kuwaza liwepo

Hata Roho mtakatifu walijazwa nyumbani sio kanisani hiyo sherehe mnaita siku ya pentecoste hawakujazwa kanisani Vatican walijazazwa ibada za jumuiya nyumbani

Usisikilize utapeli wa mapadre na elimu ya kitapeli ya seminary wamesoma soma Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume kitakusaidia uelewa kuelewa ibada ya jumuiya nini hasa?

Sikukuu ya pentecoste mwanzo wake ibada za jumuiya sio kanisani wala kanisa la Roma Vatican kwa tapeli mkubwav anajiita mama kanisa

Vatican kuna matapeli wa dunia baba wa utapeli
 
Tupo pamoja:

Who is the author of the church?

Aswers:

1. Jesus Christ is described as the founder and cornerstone of the Church.

Matthew 16:18: "And I tell you, you are Peter, and on this rock, I will build my church, and the gates of hell shall not prevail against it."

Ephesians 2:20: "Built on the foundation of the apostles and prophets, Christ Jesus himself being the cornerstone."

Colossians 1:18: "And he is the head of the body, the church. He is the beginning, the firstborn from the dead, that in everything he might be preeminent."

2. The Holy Spirit is credited with establishing the Church on the Day of Pentecost.

Acts 2: This chapter describes the Holy Spirit descending upon the disciples, empowering them to preach the Gospel, and leading to about 3,000 people being baptized and added to the Church. This event, Pentecost, is often seen as the birthday of the Church.

Key Points:

Authorship: The Church is divinely initiated by God (Father, Son, and Holy Spirit), with Jesus as the foundation and the Holy Spirit as the empowering presence.

First Church: The "first church" can be understood in two ways:

The universal Church: This refers to all believers throughout history, both past, present, and future, who are united in Christ.

The first local gathering: The events of Acts 2, where believers were added to the Lord, forming a community in Jerusalem, mark a significant moment in the establishment of the visible Church:

41 Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapata elfu tatu.
42 Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.
43 Kila mtu akaingiwa na hofu; ajabu nyingi na ishara zikafanywa na mitume.
44 Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika,
45 wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyokuwa navyo, na kuwagawia watu wote kama kila mtu alivyokuwa na haja.
46 Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kushiriki chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe,
47 wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote. Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.

Summing up: While the Bible doesn't use the term "author" in this context, it attributes the origin and foundation of the Church to the work of God the Father, Son, and Holy Spirit. Jesus is the cornerstone, the Holy Spirit is the empowering presence, and the events of Pentecost mark a pivotal moment in the establishment of the visible Church.

tf
 
Mwanangu alipata accident ya kuungua na moto jumuiya wamenichangia zaidi ya Tsh 400,000/= lakini ukikutana na watu dizain ya kaa chini na Shotocan utaona namna tupo na wagonjwa wengi wa akili ya imani Tanzania.
Yaani kwenye msiba unapata faraja sana....
Watu wa JF wengi waropokaji hawajui chochote
 
Thanks so much for clarification
You are right hundred percent

God bless you so much You and your family for defending the truth
 
Thanks so much for clarification
You are right hundred percent

God bless you so much You and your family for defending the truth

Yesu ameanzisha Kanisa kwa gharama ya mauti yake. The church belongs to the Lord Jesus Christ. Kanisa linaitwa Bibi harusi wa Bwana Yesu. Kanisa ni mali ya Kristo.

Injili yoyote ambayo haitambui au kueleza waziwazi kuwa Yesu Kristo aliteswa, akafa na siku ya tatu akafufuka kutoka wafu, na kwa gharama ya mauti yake, amelinunua Kanisa, yaani kwa damu yake amewatakasa wale wote wanaoamini ya kuwa kwa kupigwa na kufa kwake dhambi zao zimesamehewa, nao wamekuwa wakristo, yaani wafuasi wa Kristo, ambao ndio Kanisa.
 
Nimekwambia una makasiriko sana na Wakatoliki ndiomana unachanganya topics kibao huna hoja inayoeleweka zaidi ya negativity tu unaruka ruka marahili mara lile.
Huku mtaani kwetu zamani tulikua tunawaona wakatoliki pekeyao wanasali Jumamosi asubuhi sasa kinachonishangaza mbona madhehebu mengine mengi yameiga huu utaratibu sikuhz wakati mwanzo walikua wanawaponda wakatoliki 😂
 
Sio mkatoliki; ninawakubali hawa jamaa kwenye maeneo haya.

Elimu: wamewekeza sana kwenye shule na vyuo. huduma za elimu zinaptikana kwa watu wa dini zote.
Afya: Wana miliki shule, vituo vya afya ambavyo ni kimbilio la wengi, bila kujali kabila, dini
Uchumi: wanavitegauchumi kama benk na wanaviendesha kwa mafanikio.

Haya sasa njoo kwa sisi;
-ni mwendo wa kufukuza mapepo,
-ni mwendo wa kuagua wachawi!
-biashara kubwa ni kuuza udongo, maji, mafuta, keki
-ni makusanyiko ya watu maskini kimwili, kiakili na kiimani pia.
 
Hakika kwenye imani wajinga wajinga ni wengi sana na mtapigwa nyie mpaka vichwa viwakae sawa,huyo Yesu unayesema ni mwanzilishi wa Ukristo alisisitiza ”asiyefanya kazi na asile” lakini wewe hapa leo unaamini kuna siku utaombewa umaskini wako uondoke.

Ndiyo maana Kiboko Ya Wachawi natamani leo kesho arudi kuwanyoosha zaidi,aliwadanganya kuna siku atawaombea umaskini wenu uishe huku yeye akinunua V8s na Range Rover Sport sasa amerudi kwao Congo anakula jasho la wajinga,naona na mtume Musa wa Msuguli mmemjengea kijighorofa pale pembeni ya banda lake Mwamposa nae mmezawadia Hotel Tunduma.
 
Kuna wengine wanazitumia ka njia ya kufahamu ka nyumba ina totoz nakishi nakishi kupata utelezi kwa shemeji yao ama totoz waliopo

....... Alisikika mpagani akimnong'oneza mwenzie ....
Hamna kitu apo wakitoka Sali ,salam Maria kifuatacho umbea ,katoriki ilikua zamani sio sasa ,mwana jumiiya anatoa michango kama yote ,ila siku akifa ndo mizengwe inaanza.

Katoliki ni dini yangu mama nimehudum mle , ila ya sasa sio ile enzi zetu, ya sasa hamna kitu, kuanzia watishi wake wakuu.

Siku Mungu wangu akaniambia haupo sehem sahii , nikasema naam bwana wangu , nami nikaipiga chini.

Udongoni kila mtu anaenda mwenyewe , hivyo hivyo kila mtu atakula elefu wa kamba yake kadri Mungu alivyomjalia , padri ,mchungaji ,askofu n.k ni binadam tu .

Kwa sasa RC imepoteza mwelekeo bora niambie Gwajima au wachungaji wa namna iyo ,kwa mfano tu.
 
Christu yupi ili hali wakatoliki wengi wenu mambo yenu hayaendani na matendo ya Christu, ? Ni jambo la kawaida kumkuta kasisi Amepiga pombe ,sasa kama yeye ndivyo vipi wafuasi wake?
 
Christu yupi ili hali wakatoliki wengi wenu mambo yenu hayaendani na matendo ya Christu, ? Ni jambo la kawaida kumkuta kasisi Amepiga pombe ,sasa kama yeye ndivyo vipi wafuasi wake?
Ukisoma Yohana 2:1-11 utakutana na habari ya muujiza wa kwanza wa Yesu wa kubadili maji kuwa divai kule Kana ya Galilaya. Divai ni pombe. Pombe hata siyo tatizo kama inanywewa kwa kiasi.
 
Christu yupi ili hali wakatoliki wengi wenu mambo yenu hayaendani na matendo ya Christu, ? Ni jambo la kawaida kumkuta kasisi Amepiga pombe ,sasa kama yeye ndivyo vipi wafuasi wake?
Wakristo mbinguni hatutahukumiwa kwa kuulizwa swali eti Mchungaji wako alikua nani au ulikua unasali kanisa gani au ulikua kwenye kikundi gani.
WOKOVU ni suala binafsi sio la taasisi
 
Ni utaratibu wa kuendelea kuwajengea fensi ya kutokuhama dhehebu. Ndio maana kutoka huwa inakuwa ngumu sana. Ni Kwa sababu ya minyororo kama hii
 
Picha ya jumuiya yetu umeshare kwa idhini ya nani ?
 
Babu punguza kuvuta gozo.
 
Wewe mbona kama unahasira sana na wakatoliki?
 
Naku unga mkono apo
 
Ni utaratibu wa kuendelea kuwajengea fensi ya kutokuhama dhehebu. Ndio maana kutoka huwa inakuwa ngumu sana. Ni Kwa sababu ya minyororo kama hii
Sasa inakuaje tena madhehebu mengi yameiga huo utaratibu kutoka kwa Wakatoliki manake huku mtaani sikuhz tunaona Anglican,KKKT,TAG,Walokole n.k na wenyewe wanafanya jumuiya hasa siku ya Jumamosi asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…