Jumuiya kama za Kikatoliki zinapaswa kuigwa na jamii zote na taifa kiujumla

Sasa inakuaje tena madhehebu mengi yameiga huo utaratibu kutoka kwa Wakatoliki manake huku mtaani sikuhz tunaona Anglican,KKKT,TAG,Walokole n.k na wenyewe wanafanya jumuiya hasa siku ya Jumamosi asubuhi.
Utaratibu wa jumuiya haujaletwa na wakatoliki ulikuwepo tangu muda. Kuna channel ya wale Marabi wa kiebrania sijui kiyunani aliulizwa tena na mtanzania wakati wapo Israel akaifafanua. Labda hoja iwe kuifanya jumamosi asubuhi.πŸ˜‚πŸ˜‚ Shotocan ameiweka kiprotestant tu
 
Tunazungumzia kwa context ya hapa Tanzania lipo wazi kwamba Wakatoliki ndio walianzisha huu utaratibu wa kusali Jumuiya hasa siku ya Jumamosi asubuhi na makanisa mengi yalikua yanawadhihaki Wakatoliki kuhusu huu utaratibu sasa cha kushangaza sikuhz na yenyewe yameiga huu utaratibu wa Jumuiya huku mtaani.
 
Rudia kusoma kule juu mvutano wao umebase wapi? Sahwah eeh
 
Mkuu utaenda Mashariki,Magharibi,Kusini na Kaskazini kutaka kuwabeza Wakatoliki hautaweza kamwe.Hiyo imani uliyinayo chanzo chake ni Biblia iliyokusanywa na kuundwa na Wakatoliki.Vyovyote vile utakavyoamini na kujifanya mjuaji lkn kama unajiita Mkristo basi kuna athari ya Ukatoliki ndani yako.
 
Sasa inakuaje tena madhehebu mengi yameiga huo utaratibu kutoka kwa Wakatoliki manake huku mtaani sikuhz tunaona Anglican,KKKT,TAG,Walokole n.k na wenyewe wanafanya jumuiya hasa siku ya Jumamosi asubuhi.
Nao sababu ni hiyo hiyo. Watu wanapoanzisha dini wanabuni na mikakati ya kupata waumini endelevu na wakiwapata kuna mbinu za kuwakoleza zaidi ili iwe ngumu kutoroka
 
Kamwambie Kagame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…