Pre GE2025 Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China wamuunga mkono Rais Samia kugombea tena 2025

Pre GE2025 Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China wamuunga mkono Rais Samia kugombea tena 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China, Alawi Abdallah, ameeleza azimio la jumuiya hiyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu.

Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Alawi ameeleza kutoa tamko hilo kwa niaba ya wafanyabiashara wote watanzania kote Duniani kwakua zaidi ya asilimia 98 ya Biashara inayofanyika nchini Tanzania inatokea nchini China, kwahivyo Jumuiya hiyo ikisema basi wafanyabiashara wote wamesema,ikumbukwe katika mkutano mkuu CCM wajumbe wa mkutano huo walipitisha jina la Samia Suluhu kuwa mgombea pekee wa urais kwa mwaka wa uchaguzi 2025 kupitia chama hicho.
 
Back
Top Bottom