Jumuiya ya Afrika Mashariki bila uongozi wa mzungu itakuwa ni genge la maigizo yasiyo na tija

Kwan nini wasiweke sarafu moja..visa moja na passport moja kama walivyofanya EU
 
Hivi kwanini chadema mnaamini mzungu tu ndio ataewaletea maendeleo?
 
Mengine sina mchango lakini kuna wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kama kuna nia ya kweli mbona sisi raia hatufundishwi labda kuanzia shule za msingi kuujua na kuuimba?

Au hilo pia linahitaji pesa mingi? Au muda bado?
 
Sasa mizungu inaingia vp hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…