Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Bora hata wangefikiria kupanga ofisi yenye hadhi kubwa kidogo kuliko ufipa kwa baba mkwe wa mwenyekiti maana wazo la kujenga hawana.Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.
Low IQ !
Wewe ndo huelewi kiswahili, kasema mnamlipa huyo mzungu kwa sababu aliyeyotoa tamko ni mzungu anaitwa Patricia Scotland, tatizo mnaweweseka na kipigo.Mkuu, unakijua kiingereza kweli? Au unadhani Commonwealth ni jina la mtu?
Bado unategemea mabeberuHaya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.
Hii ni Taasisi kubwa sana duniani imeripoti hili.
Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
Yaani hata kama mh. Magufuli angepata kura moja wengine wakapata sifuri bado ndiye mshindi kwa mujibu wa sheria za nchi.2/3 ya wapiga kura hawakujitokeza kwenye huo ushenzi uitwao uchaguzi. Na bado kwenye hiyo 1/3 hamkupata kura zote. Sina tatizo la Lisu kushindwa iwapo angeshindwa kwa uhalali. Sio kwa hizo kura zilizokuwa zinasambazwa na vyombo vya dola. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Yaani hata kama mh. Magufuli angepata kura moja wengine wakapata sifuri bado ndiye mshindi kwa mujibu wa sheria za nchi.
MAGUFULI4LIFE.
Wewe kama umeshikiwa akili kivyako sisi tunaendelea na kazi.Unajikuta anajua sana kumbe ulichoandika ni utumbo mtup
Hivi hizo relevant authorities wanazozisii ni zipi kiasi kwamba sio ndio hizo hizo zilizochafua uchaguzi kwa mujibu wa taarifa yao?“However, I am deeply concerned by reports alleging serious incidents of violence and electoral malpractice. I urge the relevant authorities to transparently and expeditiously conduct the necessary investigations and ensure the rule of law, justice and accountability prevails, in order to maintain the people of Tanzania’s confidence in democracy.
Wa kikubwa nimekuachia wewe.Kujisifia kote huko bado ushinde kwa wizi wa kitoto hivyo?
Those guys are clearly playing their own pre-planned game. Ila ngoma yao imebuma alfajiri-alfajiri tu. Hawakutegemea surprise kubwa kiasi hicho kutoka kwa wananchi wazalendo. They underestimated the level of awareness of our people kuhusu ghiliba yao ya kumtumia mamluki wao ili aturudishe kulekule kwenye mikono yao ya unyonyaji wa rasilimali zetu. Huyu Mzungu wao hajaanza juzi kuimba ngonjera zake za "Tutashtakiwa! Tutashtakiwa!" Sasa angoje kesi zake tu, maana mpango wake wa kuivuruga nchi umekatishwa na kufika mwisho.Hivi hizo relevant authorities wanazozisii ni zipi kiasi kwamba sio ndio hizo hizo zilizochafua uchaguzi kwa mujibu wa taarifa yao?
Uchaguzi huu kwa kweli hatukuiba kama chaguzi zilizopita, tumefanya ujambazi tukamaliza kabisa. Waliofanya hili akili zao ndogo kama za mende na wanatuhalibia chama chetu kikongweHaki gani unataka wewe? Uchaguzi umefanyika kwa uhuru na haki hakuna mtz yoyote aliyekatazwa kupiga kura na kura zote zimehesabiwa kwenye kituo mbele ya mawakala wa vyama vilivyoweka wakala na mshindi akaonyeshwa hapo hapo kwenye kituo. Sasa wewe unayesema uchaguzi haukuwa huru na haki leta ushahidi siyo kulialia tu kama mtoto mdogo!
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.Uchaguzi huu kwa kweli hatukuiba kama chaguzi zilizopita, tumefanya ujambazi tukamaliza kabisa. Waliofanya hili akili zao ndogo kama za mende na wanatuhalibia chama chetu kikongwe
Wanaelewa hao vilaza basi[emoji23][emoji23]Kama hujui lugha hiyo mzee ni kwamba wanasema wanasikitishwa na ripoti zinazodai kuwapo kwa matukio hayo; hawesemi kuwa kuna matukio hayo.
Wewe unaona kabisa ni usiku wa giza totoro lakini unang'ang'ania kuwa ni mchana kweupe kabisa.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Walioshinda hawana sababu ya kutumia nguvu kubwa kuzuia habari.Hai Mbowe ameshindwa ndiyo maana anahangaika na Dar kama wananchi wangekuwa wamemchagua Mbowe wangekuwa wako barabarani mkuu!
Tuseme tu ukweli Wapinzani wameshindwa vibaya sana na sababu kubwa ni Lissu kuside na beberu Robert Amsterdam. Watz huwa hawapendi sana mabeberu ambayo yako kwa ajili ya Rasilimali zetu.
Demokrasia ya Aina yake !Yaani hata kama mh. Magufuli angepata kura moja wengine wakapata sifuri bado ndiye mshindi kwa mujibu wa sheria za nchi.
MAGUFULI4LIFE.
Waswahili walisema "Waarabu wa Pemba, hujuana kwa vilemba".View attachment 1618126View attachment 1618125
My Take
Pamoja na ukweli wa mambo yasiyo ya kawaida,ila ndugu zetu wa damu jumuia za Afrika zinasema mambo yalikuwa shwari.