moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Dua la kuku hallimpati mwewe........Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.
Hii ni Taasisi kubwa sana duniani imeripoti hili.
Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.
Hii ni Taasisi kubwa sana duniani imeripoti hili.
Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
hawa mabeberu wanatuzingua tu!!Hawa kina Zitto na Lissu na watu wachache Sana wa chadema cjui kitu gani wanataka, hatuna tatizo Kama Ni kuiba hata mbowe anaibaga hela za chadema ni utamaduni wetu Ila Mambo yanaenda, so Magu kashinda kihalali plus na vikura kidogo vya kuchakachua kuwaondoa wabunge wapiga kelele.
Sisi watanzania Ni waangaliaji tunaenjoy Sana drama za siasa Ila kamwe hatushiriki kamwe, naawaambia tunapenda drama.
mabeberu wanatuzingua Sisi tunataka silaha tutafutane humuhumuDua la kuku hallimpati mwewe........
Utalijua jiji weweeee mchangiaji.....!
Kama zimepatikana si mzipeleke kwa Amsterdam?Wamekuwa shocked na zile sandarusi pamoja na viroba vya kura fake zilizotapakaa nchi nzima!
Yaani hapa ni kuliendeleza fukuto bila kunyamaza ili matamko kama hayo yafikie kuchukuliwa hatua Kali. Tukinyamaza nao watayaweka kwenye makabati ibaki historiaHaya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.
Hii ni Taasisi kubwa sana duniani imeripoti hili.
Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
Kwa hiyo wewe hujaona ukiukwaji mkubwa wa taratibu katika uchaguzi uliopita?Ama kweli kuipenda kwako Sana CCM kumekufanya uwe kipofu.Jumuiya ya madola ni taasisi kubwa inayoheshimika duniani kote ambayo Tanzania ni mwanachama,haiwezi kuwasingizia!Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.
Low IQ !
Waafrika chini ya Jangwa la Sahara tuna kasoro kubwa katika ubongo wetu..View attachment 1618126View attachment 1618125
My Take
Pamoja na ukweli wa mambo yasiyo ya kawaida,ila ndugu zetu wa damu jumuia za Afrika zinasema mambo yalikuwa shwari.
Kaka funguka kidogo,weka hisia zako pembeni,angalia UHALISIA wa hili jamboKwa hiyo wewe hawa ndiyo unawaaminj sana kuliko ndugu zako wa damu? Slavery Mentality inakusumbua mkuu.
Sijaona mkuu unless utoe ushahidi mimi kwenye kituo changu cha kupigia kura tulipiga vizuri tu na hakuna matatizo yoyote yaliyotokea!Kaka funguka kidogo,weka hisia zako pembeni,angalia UHALISIA wa hili jambo
Je uchaguzi ulikuwa wa haki,Je hakukua na ubadhilifu na uvunjwaji wa haki za binaadamu katika huu uchaguzi uliopita?
Kwanini Waafrika chini ya Jangwa la Sahara akili zetu zimekuwa kama watoto Wadogo?hivi kweli hujayaona yote yaliyotokea?
Wewe ndio wale wale, wewe ni mfano wa Mwafrika mweusi, hisia zako zimetawala maamuzi yakoSijaona mkuu unless utoe ushahidi mimi kwenye kituo changu cha kupigia kura tulipiga vizuri tu na hakuna matatizo yoyote yaliyotokea!