Uchaguzi 2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.

Hii ni Taassisi kubwa sana duniani imeripoti hili.

Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
Yeye ndio rais, atatawala, shida ni kwetu kwa mbinyo wowote Kama utajitokeza.
 
Inamaana viongozi wa Afrika Mashariki ná viongozi wa SADC hawakuyaona haya?
Wanalinganisha na chaguzi zao wameona Tanzania tumefanya kwa Uhuru na haki.
Kwahiyo chadema, ACT Kipigo walikipata kihalali.
 
Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.

Low IQ !
Na wewe unalipwa shilingi ngapi kwa kuandika utumbo huu???
 
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar.

Secretary-General Scotland stated:

“By turning out to vote on 28 October, the people of Tanzania once again placed their hope in our shared values of democracy. I laud them for their unwavering commitment.”

“However, I am deeply concerned by reports alleging serious incidents of violence and electoral malpractice. I urge the relevant authorities to transparently and expeditiously conduct the necessary investigations and ensure the rule of law, justice and accountability prevails, in order to maintain the people of Tanzania’s confidence in democracy.

The Secretary-General reaffirmed her hope that positive lessons from previous elections could inform current processes, and added:

“I hope that every option will be explored to maintain trust in the electoral process and to ensure that democracy, peace and unity are safeguarded in Tanzania. The Commonwealth will remain ready to offer support if required”.
Kama hujui lugha hiyo mzee ni kwamba wanasema wanasikitishwa na ripoti zinazodai kuwapo kwa matukio hayo; hawesemi kuwa kuna matukio hayo.
 
Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.

Hii ni Taassisi kubwa sana duniani imeripoti hili.

Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
No Wana wa mungu ,naomba watanzania,viongozi msizibe masikio badala ya kutumia nguvu nashauri katiba inaruhusu jpm hata kabla ya uchaguzi bado alikua rais so ebu tukubali uchaguzi haukua huru na ndivyo ilivyo
So kwa Sasa hakuna namna uchaguzi hufutwe na tujiandae kwa uchaguzi mwingine haijalishi hata ikiwa miaka miwili au mmoja
Mfano
Leo haitokea mbunge yoyote wa ccm akasikilizwa na wananchi katika Jimbo lake maana hata kashindwa wananchi hawana Imani ,nguvu ,kukamata viongozi wa upinzani haiwezi tutoa tulipo, Kama taifa tulipo fika ushabiki hautusaidii bali tunaua taifa nasema na ndo ukweli ,watu watafika mda hawatazikana
Utasubiri sana. Kamuulize Maalim Seif mwaka 2015 walimwahidi hivyo hivyo mpaka mwisho tumefanga uchaguzi mwingine.
 
Au, SADC, EAC Wote ni mama mmoja na baba mmoja na ccm hawa....
 
No Wana wa mungu ,naomba watanzania,viongozi msizibe masikio badala ya kutumia nguvu nashauri katiba inaruhusu jpm hata kabla ya uchaguzi bado alikua rais so ebu tukubali uchaguzi haukua huru na ndivyo ilivyo
So kwa Sasa hakuna namna uchaguzi hufutwe na tujiandae kwa uchaguzi mwingine haijalishi hata ikiwa miaka miwili au mmoja
Mfano
Leo haitokea mbunge yoyote wa ccm akasikilizwa na wananchi katika Jimbo lake maana hata kashindwa wananchi hawana Imani ,nguvu ,kukamata viongozi wa upinzani haiwezi tutoa tulipo, Kama taifa tulipo fika ushabiki hautusaidii bali tunaua taifa nasema na ndo ukweli ,watu watafika mda hawatazikana
Jna matatizo kwenye akili zako.
 
Mkuu, unakijua kiingereza kweli? Au unadhani Commonwealth ni jina la mtu?

Ulimsikia tundu alivyosema lkn alivyoongea na Wanahabari kumhusu huyo Muzungu? Hata kuna uzi humu wa huyo Muzungu akisema anawaandikia Jumuiya ya madola, sasa kipi ambacho hauelewi? Au unafikiri huyo Muzungu anafanya charity?
 
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar.

Secretary-General Scotland stated:

“By turning out to vote on 28 October, the people of Tanzania once again placed their hope in our shared values of democracy. I laud them for their unwavering commitment.”

“However, I am deeply concerned by reports alleging serious incidents of violence and electoral malpractice. I urge the relevant authorities to transparently and expeditiously conduct the necessary investigations and ensure the rule of law, justice and accountability prevails, in order to maintain the people of Tanzania’s confidence in democracy.

The Secretary-General reaffirmed her hope that positive lessons from previous elections could inform current processes, and added:

“I hope that every option will be explored to maintain trust in the electoral process and to ensure that democracy, peace and unity are safeguarded in Tanzania. The Commonwealth will remain ready to offer support if required”.

That is it.
 
Jumuiya ya Madola haihitaji kuandikiwa maelezo yoyote na mtu. Ipo huru na imekamilika
 
Pulchra Animo.
 
Back
Top Bottom