Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Uganda ilikuwa serikali ya kijeshi. (military rule ambayo iliingia kwa mapinduzi). Muogope Mungu.
Wamebaki kupiga propaganda wakati wenzao wanasonga mbele. Ni reli gani hiyo aliyojenga Amin na kusambaza umeme vijijini?! Labda kijijini kwao Koboko.
 
Lissu hana mpango na mambo yenu, mjilaumu wenyewe hata kuandaa huu uchaguzi mdogo tu unawashinda, haya sasa wajibuni hao mabeberu wenu ambao muda mwingine mnawaita wadau wa maendeleo.
Jafo kashawajibu
 
QUOTE="Ole, post: 33609485, member: 861"]
Mkuu haya mataifa yalikuwa na nguvu sana wakati wanachangia budget ya TZ kwa zaidi ya 50%. Hivi sasa hatuhitaji hiyo support yao kwa sababu tunachangia hiyo budget kwa pesa zetu wenyewe. Kama sikosei sasa hivi 70% ni sisi wenyewe na tunaelekea kupanda zaidi kwenye awamu hii ya 5. Hutuwezi kuwabembeleza, JPM anafanya kazi nzuri sana tupo huru na tumeamua kusonga mbele kuivusha Tanzania kwenye neema.
[/QUOTE]
Viva Magufuli
 
Watoe matamko kuhusu familia zao na wake zao na sio kuhusu nchi yetu
 
Hivi mabeberu yanaogopwa kwa kuwa yana ndevu au?
 
Akili umwemwachia mgonjwa wa akili
 
Umoja wa ulaya ushughulikie kwanza tatizo la ushoga kwenye bara lao ndio waje watufundishe jinsi ya kuchagua
Nchi za mataifa ya dunia ya kwanza wameshapita hatua ya kumuamulia mtu nini afanye na mwili wake,wanafikiri sasa namna ya kuhama dunia hii yenye watu useless kama wewe
 
Waelekeze Iran na Zimbabwe waende huko wewe mwenye macho makubwa
 
Kilichofanyika Tanzania ni Aibu kubwa kihistoria na sidhani kama doa hilo chafu kama pepo litafutika...
 
Were no beberu
 
Upokee hela za beberu kisha umgomeee?

Wee msikilize tu wala hutokuwa shoga
 
Ni ujinga wa karne kutupa lawama kwa Tundu Lissu asiyepo nchininwakati wawakilishi wa "mabeberu" wako hapa hapa nchini.
 

Kuna uhusiano gani kati ya ubakaji wa demokrasia katika uendeshaji wa uchaguzi wa serekali za mitaa na lissu kukaa ubelgiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…