Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mnalazimisha tu kama kawaida yenu.Hiyo hoja ninya kwako wewe, ila sisi Waislamu tunajua Yesu wa Nazareth ndio Isa bin Mariam,
Katika uislamu sio tu kazungumziwa yeye, kazungumziwa hadi mamake, yani Mariam mamake Yesu katija uislamu kuna Surah nzima (chapter) imepewa jina lake.
Ndio maana jina Mariam ni maarufu miongoni mwa jamii ya kiislamu, sababu ya kumuenzi bikira Maria
Dini ya kulazimisha.